Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabingwa wa kushiriki kila mwaka,bila Kombe..
Kama huyu ni kocha bora kwanini asubirie mpaka dakika za mwisho??! Timu ilipokuwa haina majeruhi alifanya nini?!! Tusimsifie kwa mwendo wake wa kikobe,mabadiliko yanahitajika.
Kachukua ubingwa wa uefa mara ngapi na arsenal ina makombe mangapi ya uefa??
Dah Wenger Jana ametisha sana ameishabgaza dunia maana mashabiki wa man u wakitamani tutoke