hahahaaa mnawachokoza bure mashabiki wa arsenal jamani, hawana uwezo wa kufika fainal katika 16 zote wamefika mara moja, ndoto za kuchukua ndio zilishakufa zamaniiiiii saiz ni washiriki tu walishajikatia tamaa na ndio maana unawaona wanasherehekea kuingia 16, ukija epl nako toka kikwete kaingia madarakani hadi sasa tumeanza kusahau kama tulishawahi kuwa na rais anaeitwa kikwete hawajawahi beba, kila mwaka wanatuambia huu mwaka wetu huu mwisho wa Siku tunaanza kuona WENGER OUT, kwann wasijipongeze kuingia 16 jamani?
hongereni sana arsenal
hongera Mr bean
wakuacheeeeee ulale