ART OF ROLLING, Epuka ya pusha jifunze mautundu.

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Posts
9,758
Reaction score
18,431
Tsap fellaz [emoji1534]

Leo pita pita zangu nmekutana na mwanangu wa kitambo sana, unajua ilikuwaje?

Mimi sina hili wala lile nashtuka tu mtu ananigusa bega, "oya Mgenii vipi msela?" Kwanza nikashtuka kidogo nani tena huyu miaka hii ananiita msela ila nkaona isiwe kesi nkageuka kumjua

Allah!, mbona kama sura naikumbuka hii niliwaza chapu chapu ili kuzuga nikajibu "kwema mzee" jamaa akafurahi kinoma ila kimtindo akawa anajishtukia shtukia.

Zikapita dakika mbili za fasta nikawa nshamsoma kumbe ni mwana wa kitambo kweli yani tangu shule kule, "vipi mzee mjini hapa hapa mkali?" Nilimuuliza ili kupitisha fikra zangu maana mshikaji alikua kachoka choka kinoma simpo unaweza sema mwana kawa mteja hivi

"Nipo mwanangu, hausomeki papaa kitambo sana" si unaijua ile ongea ya mteja asa ndio ongea ya mwana saivi, nkaona isiwe kesi ngoja tukae mahali anipe ABC za maisha

Baada ya stori nyingi nlisikitika sana mwana kapiga kitabu bachelor ya maana tu ila ndio hivyo zile za kwenda kwa pusha na kunyongewa mzigo zimemmaliza kabisa adi saivi anatumia kitu cha sembe live live.

Nikawakumbuka watu wangu humu Jf hivi huwa unajitengenezea au unatengenezewa na famasisti wako!? Asee muepuke sana ila leo ngoja nkupe ABC za kunyonga mwenyewe usije ishia shusha udenda badae

Art of rolling wenyewe tunaiita hivyo, ujue kuroll si kila mtu anajua, asa wewe fanya hivi, nunua pakti yako ya Rizla + ni 500 tu paper zipo 50.

Haya chukua stiki yako kwa pusha vunja nusu kisha saga kiasi chambua mbegu na vijiti vyote iangalie. Ewaa!!, tabasabu kidogo

Mwaga mzigo kwenye paper yako anza kufanya kama una sokota ila usiifunge fanya mara 5 hivi alafu ichungulie ipo freshi sasa isokote then funga kwa mate kidogo. Kumbuka paper ina upande wenye gundi sasa utumie uo upande kufungia kwa mate kidogo

Tulia kidogo ikikauka na inakauka fasta washa mzigo lijipie kivyako huku unatafakari mishe za maana si kuwaza ujinga ujinga ukimaliza usije ukapiga mswaki kwa dawa ya mengo au kutumia pipi yoyote utapotea mzee, wewe sukutua kiasi then kunywa maji yakutosha call it a day usinywe pombe usitembee kwenye jua kali.

Kama vipi ita mtoto mkali siku ipite kama ni weekend kama ilivyoisha hii.

Mimi nimeagana na mwana ila wanangu msipende vya kunyongewa hivyo vitawapasua vichwa mtachanganyiwa adi majani ya mpapai
 
Haukawii kuuziwa FAMBA ukaambiwa cha ARUSHA..
 
Write your reply...siku ukifundisha kutengeneza cocaine nitag bwana mkubwa nakuomba sana uache uchoyo sa hiv ngoja nikajiribuu hii ...
 
Kwani ukitoka kuvuta ukapiga mswaki na dawa ya meno au ukala pipi, inakuaje
 
Trick nyingine ni kupaka asali kwenye joint kuepuka ile harufu ya weed pia kwa sisi watu wa dry kitu kinaburn slow unaenjoy zaidi
 
Back
Top Bottom