Artem Vaulin ni nani?

Artem Vaulin ni nani?

mpenda pombe

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
1,406
Reaction score
711
Habari wadau...

Ningependa kumjua huyu Artem Vaulin kaanzia wapi mpaka leo kuja kukamatwa kwa maswala ya uhalifu wa kimtandao...
 
Founder wa KAT (kickass torrent) pirating site ambayo kimsingi inakiuka copyright law.
 
Back
Top Bottom