Arteta kocha bora ajaye

Arteta kocha bora ajaye

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Ni ukweli usiopingika kuwa kocha msaidizi wa Manchester city mikel arteta atakuja kuwa kocha mkubwa hapo baadae kutokana na vitu vifuatavyo.

1. Kuimudu kwa asilimia zote nafasi ya kumshauri Joseph pep guadiora pale anapoonekana kuishiwa na mawazo

2. Ufundi na ujuzi anaoupata kutoka kwa master of tactics mzee wa tik taka Joseph pep ambaye kwa sasa anaonekana kumuachia mbinu za kutoka michel na kufikia hatua ya kumpigia chapuo kuwa akiondoka man city mrithi wake awe jamaa yake huyo ambae wanasaidizan kazi kwa sasa hapo clubuni

Naomba uje na mtazamo wako kuhusu hili lakini mtazamo ukipingana na wangu patatokea kasheshe ya kubishana pia karibuni sana
 
Kukaa karibu na mahakama si kujua sheria. Yaani sababu ni kwa kuwa karibu na Pep! Kila kocha huwa na mbinu zake. Mf mou mzee wa kupaki bus, Ferg mzee wa bahasha ya kaki, Pep Attack, attack,attack etc.

Kwa sasa ukiwatoa Pep na Klopp makocha bora kwa sasa ni wale wanaozifundisha Inter Milan, SS Napoli, na Atletico Madrid. Hao wengine wanajiaribu
 
Unamkuubuka Patrick James Rice "Pat Rice", alichezea ARSENAL 13 year (1967-80), akachezea WATFORD 1980-84, akawa Wenger's assistant coach 1996-2012! Kuna watu ni wazuri wakiwa wasaidizi tu!
 
Uchebe yupo kundi gani
 
Afadhali umenena
 
i got your point kwa kumuweka Anceloti
 
Kukaa karibu na mahakama si kujua sheria. Yaani sababu ni kwa kuwa karibu na Pep! Kila kocha huwa na mbinu zake. Mf mou mzee wa kupaki bus, Ferg mzee wa bahasha ya kaki, Pep Attack, attack,attack etc.

Kwa sasa ukiwatoa Pep na Klopp makocha bora kwa sasa ni wale wanaozifundisha Inter Milan, SS Napoli, na Atletico Madrid. Hao wengine wanajiaribu
Truuuuuuuuuuuu.............
 
Ni ukweli usiopingika kuwa kocha msaidizi wa Manchester city mikel arteta atakuja kuwa kocha mkubwa hapo baadae kutokana na vitu vifuatavyo.

1. kuimudu kwa asilimia zote nafasi ya kumshauri Joseph pep guadiora pale anapoonekana kuishiwa na mawazo

2. ufundi na ujuzi anaoupata kutoka kwa master of tactics mzee wa tik taka Joseph pep ambaye kwa sasa anaonekana kumuachia mbinu za kutoka michel na kufikia hatua ya kumpigia chapuo kuwa akiondoka man city mrithi wake awe jamaa yake huyo ambae wanasaidizan kazi kwa sasa hapo clubuni

naomba uje na mtazamo wako kuhusu hili lakini mtazamo ukipingana na wangu patatokea kasheshe ya kubishana pia karibuni sana
Kitu PV atakuja kuwa moto, labda rangi iingilie kati.
 
Man City hachezi UEFA CHAMPIONS LEAGUE mwakani sababu ya matumizi mabovu ya pesa nyingi kwa kiwango kinachostahili kwa mujibu wa FIFA.
 
Nakubaliana na hili hawez kuna kuwa na mbinu tofauti na za guardiola maana zina mafanikio
 
Kukaa karibu na mahakama si kujua sheria. Yaani sababu ni kwa kuwa karibu na Pep! Kila kocha huwa na mbinu zake. Mf mou mzee wa kupaki bus, Ferg mzee wa bahasha ya kaki, Pep Attack, attack,attack etc.

Kwa sasa ukiwatoa Pep na Klopp makocha bora kwa sasa ni wale wanaozifundisha Inter Milan, SS Napoli, na Atletico Madrid. Hao wengine wanajiaribu
Hujamuelewa mdau, hajasema Arteta ni bora na kumlinganisha na yoyote maana si kocha mkuu bali anaweza kuja kuwa kocha bora.
 
haswa mkuu hata mimi nimemaanisha hivyo hivyo
 
Unamkuubuka Patrick James Rice "Pat Rice", alichezea ARSENAL 13 year (1967-80), akachezea WATFORD 1980-84, akawa Wenger's assistant coach 1996-2012! Kuna watu ni wazuri wakiwa wasaidizi tu!
sasa wenger anaweza kukupa mbinu mkuu?
 
Back
Top Bottom