Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
Ebwana eeehh kama kawaida wana jf.Vayulenceš„š„š„š„kwa WAZEE WA NDOA LIALIA,PEACE IS NEVER AN OPTION!!!
Katika pitapita zangu kwenye kusomasoma nimekutana na huyu kiumbe wa kuitwa comrade Arthur Schopenhauer.Mchizi ni mwanafalslafa mahiri wa kijerumani ambaye alikuwa KATAA NDOA KINDAKINAKIššš
Jamaa anatoa point kiasi kwamba wale jamaa wa NDOA LIALIA wakiziona lazima wapagawa na hasira zitawapanda sana dadeki.
Tunaendelea kusisitiza vijana wanaojipenda, KATAENI NDOA NDOA NI BIASHARA YA HASARA KWA MWANAUME( UWEKEZAJI WA KITAPELI).
#KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!
CC; -AIONE KWENYE JALADA MWENYEKITI WA KATAA NDOA KANDA YA EAST AFRICA dronedrake
-MWENYEKITI WA KATAA NDOA DUNIANI TAJIRI NAMBA MOJA TRILIONEA ELON MASK.