Artificial Intelligence kwenye Telegram

Aiseee hiii kitu ni zaidi ya Binadamu kwa uwezo nimemuliza maswali mengi amenijibu kifasaha kabisa duh mpka nimeshangaa nimeamin kweli Dunia Inaenda Kasi 😳🤔
 
Nimeipenda kwa kuwa na kiswahili Iko vizuri. Hongera sana kwa kazi nzuri
 
Huko kwa wenzetu wanatumia bongo zao vizuri sana..
Africa tunatumia bongo zetu kutafuta chakula ili tuishi leo tu..dah.
 
Nzuri.
 
Nataka kuwapa tips nyingine ya namna ya kumtumia bot huyu kwenye Telegram

Kuna wakati inaweza kutokea unahitaji taarifa flani zilizopo ndani ya document yenye page nyingi haraka iwezekanavyo, au unataka kujua taarifa zote just in summary na point muhimu tuu mfano document iko na page 50+ unafanyaje?

Sasa tumeongeza feature inayokuwezesha ku_summarize document hiyo pamoja na kukupa taarifa muhimu zilizopo ndani ya document hiyo ndani ya sekunde 30 tuu.

Unachotakiwa kufanya kwanza upload word document (.doc au .docx) yako kwa bot kisha andika ujumbe wa kumwelekeza unataka afanye nini kwenye hiyo document. Ikiwa unatumia Telegram kwa PC unaweza upload document na kuweka caption ya maelezo ambayo unataka
@WaGPTBot afanye.

Mfano hapa chini document hii ina_page 40, na bot amefanya summarization ndani ya sekunde 30 tuu.

Ili kumtumia Ingia telegram sasa kisha tafuta @WaGPTBot

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…