Hii ngoma hapa mmiliki wake ni artificial robot aliyekuwa signed na record label kubwa.
It is all AI naona ufake umeingilia mziki.
Soon tutaona artificial movies
Nimejaribu kufuatilia FN Mela ni fictional artist (mf.katuni) , maisha yake ya sanaa yako katika mfumo wa AR, Kama uonavyo video zake ni kikaragosi kinakuwa projected kwenya mazingira halisi tuishiyo. Sauti anayotoa ni binadamu halisi anaimba.
Nadhani hii ni fursa imeonekana na wajanja wakapita nayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.