Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana jf nisaidien nin maana sahihi ya artificial intelligence.na kwa kiswahili linaandikwaje?
Simple! Maana yake ni Intalijensia ya Saidi Mwema... Au!! Ngoja wenyewe waje. Teh teeh!

Wana jf nisaidien nin maana sahihi ya artificial intelligence.na kwa kiswahili linaandikwaje?

Simple! Maana yake ni Intalijensia ya Saidi Mwema... Au!! Ngoja wenyewe waje. Teh teeh!

we kweli mkaabure yaan ndo fikra zako zilipoishia ,pole mkuu

Kwanza kabisa tukianza na nini maana ya Intelligence:- from the dictionary tunapata yafuatayo;

NOUN:

The capacity to acquire and apply knowledge.

The faculty of thought and reason.

Hivyo basi utaona kwamba Binadamu ni kiumbe pekee anayeweza akafanya hayo hapo juu ya kujifunza kitu na kuweza kukiapply katika vitu tofauti... LAKINI

Wanasanyansi wamekuwa wakijitahidi kutengeneza mashine ambazo zina Intelligence..., yaani zinaweza zikajifunza kitu na kuweza kuki-apply katika nyanja tofauti ( Hence the word Artificial) Na mpaka sasa wameshapiga hatua sababu kuna mashine zenye computer ambazo zinaweza kujifunza mambo kutokana na scenarios ambazo mashine inazipata (yaani inakuwa ina-upgrade codes zake) mfano kuna computer Chess Game ambayo kwa jinsi unavyocheza nayo inazidi ku-upgrade moves zake na kuwa bora zaidi na kwa kufanya hivyo inakuwa ni vigumu zaidi kuifunga muda unavyoendelea....

Nadhani jambo ambalo limekuwa gumu kwa wanasayansi ni kuweza kufanya hizi mashine ziwe na feelings kama za mwanadamu yaani love, hate, hasira huzuni n.k.