Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

We nae hebu rudi kitandani kwako!!
Babu kwenye mMain thread inasema ni rafiki yetu kifamilia (Family friend) na si shogaangu! Ni mtu ninayemuheshimu. Kama sikuwahi kuhisi achilia mbali kujua kama ana-mshefa, ningeonyeshwa saa ngapi?
Na wewe umezidi kuwa siriaz ndo maana unazeeka kabla ya umri wako. Kama unajua ......Marriage is like a Dance, No matter how the Music changes you keep on Dancing.... Nini kinachokuumiza kichwa kwa hii ishu ya ndugu yako? Let her dance and enjoy the party..
 
We nae hebu rudi kitandani kwako!!
Babu kwenye mMain thread inasema ni rafiki yetu kifamilia (Family friend) na si shogaangu! Ni mtu ninayemuheshimu. Kama sikuwahi kuhisi achilia mbali kujua kama ana-mshefa, ningeonyeshwa saa ngapi?

Mhhh...Kajukuu,

Haya mambo ni kizunguzungu kitupu...!!!

Hapa alipofika huyu dada asisumbue akili yake..Aendelee kujilia raha na kujiaandaa kwa matokeo yoyote. Huwezi kucheza mpira halafu ukachukia magoli!!

Nilidhani treni imeshaniacha....Afwazali nilikuta behewa la mwisho.

Msalimie sana huyo dada!!
 
hivi mnajuaje kama huyu dada alifanya revenge au alifanya coz kama binadamu kamili anahitaji kitimiziwa hilo hitaji?
Hili ni swali la msingi sana nyamayao................ nadhani tunatakiwa tuwe makini sana katika kushauri hapa. Mwe nahisi hili lingekuja kwenye mtihani wa masomo kama Social Work mimi ningefall flat.............yaani katika yote hii mada hata mie imeniachia na mapya mengi juu ya mahusiano!
 
My thing is, if you cheated the last time what is going to stop you from cheating the next time? If you couldn't stop yourself from cheating the last time what is going to stop you from cheating the next time?
 
umesema vizuri kabisa kwenye moja ya post zako hapo juu, kuchiti ni kuchiti tu bila kujali sababu iliyokupelekea kufanya hivo....hapo nakubali mia ya mia.

kwenye uvumilivu wa -30 kwenye mambo haya ukasema hapa labda uwe ulianza wewe kutoka (umekuwa sababu) which is the case kwa huyu dada....hapa kwenye hili sasa ndo wanaume mnapojipendelea hapa.
 
bht samahani nikuombe mimi nadhani nimechanganya pints katika post yangu. Si kwamba nakulaumu la hasa bali nimefurahi umepanua wigo wa discussion. Hiyo point ya kumnyooshea kidole nilikuwa naiaddress kwa wachangiaji wote including me mydia

Sorry for the confusion bana
 
Reactions: bht

B,

Haya mambo siyo rahisi kiasi hicho. Lazima huyu dada apate sababu ya msingi na motivation ya kuchana na huyu mshefa wake wa sasa. Kama bado hajajishawishi kwamba anaweza kuachana naye, itakuwa vigumu.

Mtu anaweza kukosa maji ya kunywa kama akiamua kutoenda kisimani kuyachota, au kama kisima kimekauka! Sasa huyu dada atakubali kuukosa utamu wa maji aliyoyazoea kwa sababu gani??
 
Reactions: bht
My thing is, if you cheated the last time what is going to stop you from cheating the next time? If you couldn't stop yourself from cheating the last time what is going to stop you from cheating the next time?

The same concern we should have kwa mumewe ambaye anadaiwa kubadilika......kama alicheat mwanzoni, aliabuse n.k. nini kitamzuia kurudia tena??
 
My thing is, if you cheated the last time what is going to stop you from cheating the next time? If you couldn't stop yourself from cheating the last time what is going to stop you from cheating the next time?

Nothing really...unless she has learned her lesson.
 
Ampende kama kipindi kile cha uchumba atamsahau mshefa.
 
Eh yamekuwa hayo tena?
Laiti huyo mama angelielewa hili mapema hah
 
...huyo ni mume wako 'usishindane' naye...

umeona eeehhh...mie cmrushii huyu dada jiwe ng'o kitendo alichokifanya ndicho alichodhani kitampa matumaini kwenye c2ation aliyokuwa nayo....hapa tu nicctize kama unavyocctiza kwamba ni maamuzi yake mwenyewe kuamua kuachana na mshefa, hata ashauriwe vipi kama hajaamua hakuna kitakachoeleweka.
 
Hahahahahahah........Upo B??

Ndege wengine wote ni ruksa kulia ila akilia bundi.......Mhhhh...unaweza kumalizia!!
 
not a problem my dear!! tuko sawa kabisa wala haijanipa tabu hiyo.
 
Mimi sioni sababu kwa nini huyu dada aachane mshefa wake na azikose raha zooote zinazomfanya aishi mjini kwa amani mia kwa mia!! Aendelee tu ila ajitahidi kuhandle midume 2 kama mume wake alivyokuwa anafanya (na wanawake kibao) hapo awali!!
 
kwenye uvumilivu wa -30 kwenye mambo haya ukasema hapa labda uwe ulianza wewe kutoka (umekuwa sababu) which is the case kwa huyu dada....hapa kwenye hili sasa ndo wanaume mnapojipendelea hapa.

Tunajipendelea kivipi wakati mimi nimezungumzia nafsi yangu?

Mimi kama nilianza na yeye akajua na akanisamehe akanipa second chance, then in the interest of fairness I owe her forgiveness also. But forgiveness comes upon genuine contrition but it's not obligaotory.

Sasa sielewi kwa nini unasema tunajipendelea. Ni kwamba huyo mume aliyecheat anaona yeye alivyocheat ilikuwa sawa ama?
 
Hahahahahahah........Upo B??

Ndege wengine wote ni ruksa kulia ila akilia bundi.......Mhhhh...unaweza kumalizia!!

aaah biggy mi nachoka kabisa haya mambo. acha niendelee kujiburudisha na ule wimbo wa Jay Dee tu...na nyie jipendeleeni mkichoka mrudi makwenu mkafanye vitubio na maungamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…