Chauro popote pale ulipo............
Hebu niambie wewe unabishana na neno hili la Mungu:A woman was not made to cheat..?
Tunachangia hapa ili iweje??
ELIMU HAINA MWISHO...
Babu DC (1947)
Well Kelvin you might be right but am not sure cause this has happened one in their marriage life, to me its an incidence and taking the kind of forces that led to the wife's reaction, really I dont know what to say or think anymore...............the light in their marriage seems to be dim and not bright as I expected. Its sad really
Ewaaaaa.......hapo sawa kabisa mzee mwenzangu........ if that is the case, kama wanawake ni wengi kuliko wanaume......... wale wanawake wanaokosa wanaume si ndio hapo lile neno jingine linapotakiwa litumike? A man was not made for one woman....Ngoja nijaribu bro...
A woman was not made to cheat.......
Mwanamke (hapa naongelea wa Kiafrika), aliumbwa kuwa na mume mmoja tu.....Hakupewa nafasi yoyote (na Mungu wake) kuzungusha zungusha kipira!!???????
Kama sijapatia naomba msamaha!!
Hapo sijaona bado mkimsaidia jinsi ya kuondoa feelings zake kwa mshefa .................siku hizi ushauri umegeuka lawama sishangai kuona hata relationship nyingi zikiingia shimoni sababu ya lawama.......watu wamekuwa hata waoga kusema yaliyo mioyoni mwao maana mwisho wa siku ni vidole juu ya vidole ndio tunaishia kutengeneza nidhamu za uoga.
Kwa mujibu wa sensa: Wanawake ni wengi kuliko wanaume so huwa tunawasaidia (huwa hatucheat, tafazali tutake razi) wale wanawake wanaokosa wanaume.....Kwa sababu hatukuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja......Nipo Babu..........huwa mnacheat na matundu ya box au wanawake.
hivi mnajuaje kama huyu dada alifanya revenge au alifanya coz kama binadamu kamili anahitaji kitimiziwa hilo hitaji?
hakuna feelings.......... Njaa tu mama
Mtu yoyote anayefanya revenge ni mpumbavu... tena hasa kwa kutumia mwili wake
Nakwambia hapa ni mkuki kwa nguruwe...... Mi namshauri bidada wala asichane na mshefa wake kwa raha zake ila tu aendelee kumheshimu mumewe na kamwe asiche kumpa unyumba
MTM na Fide ninaomba niwaulize swali la nyongeza: Suppose huyu mdada angekuja hapa akiomba ushauri wa manyanyaso na abuses anazozipata toka kwa mumewe; kunyimwa haki ya ndoa, kupigwa, mume kulala nje, mngemshaurije??
Directly ningemwambia apime kama amefikia ukomo wa mapenzi na mumewe basi asepe, ila kama bado anampenda mumewe basi abaki, waongee na mwenzake na ampakate huku akimlainisha, hakuna mwanaume mgumu duniani
The same concern we should have kwa mumewe ambaye anadaiwa kubadilika......kama alicheat mwanzoni, aliabuse n.k. nini kitamzuia kurudia tena??
Afadhali hujaniuliza mimi.........ningekujibu kwa mujibu wa kanuni zetu na kuongezea na udumishaji wa mila na desturi zetu ambazo najua fika unazielewa sana.
Kwa mujibu wa sensa: Wanawake ni wengi kuliko wanaume so huwa tunawasaidia (huwa hatucheat, tafazali tutake razi) wale wanawake wanaokosa wanaume.....Kwa sababu hatukuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja......
Hapo sasa hata maana ya Heshima hatuijui, Ndo maana mkuu Chloro kule chit chat akauliza inakuwaje mijitu mingine ni mijizi ila bado inaitwa Miheshimiwa?mambo mengine ni ya kuchekesha kweli.........na wala huwezi kudhani kuna kiumbe anaweza ongea haya.....
yaani aendelee kumuheshimu mumewe huku anazidi kungonoka na mshefa?
sasa hiyo heshima inayoongelewa hapa iko wapi?
You see? Nashangaa watu wanapoteza muda hapa kujadili namna ya kumsaidia mtu kurudisha feelings kwa mmewe...... As if mapenzi yana formula moja...........Kwa hao wawili kwa kuwa wote ni wezi, waache waendelee na mawizi yao kwa timing.........Hamna jinsi....Kwa mwizi kaingia jambazi.......... wacha waliane timing to... hahitaji ushauri, anahitaji uamuzi
Well Kelvin you might be right but am not sure cause this has happened one in their marriage life, to me its an incidence and taking the kind of forces that led to the wife's reaction, really I dont know what to say or think anymore...............the light in their marriage seems to be dim and not bright as I expected. Its sad really
Hahahaha aksanteni kwa kuwajibia hawa kaka zangu am sure haya ndio yangekuwa majibu yao............sasa wekeni scenerio ya pili; aliyekuja kulalamika si mke bali ni mume...........kina MTM na Fide wamshauri afanyeje
Ukimaua kucheat haijalishi kama unacheat na ambaye yupo single au la? Ili mradi tu mmekubalianaEmbu niambie huwa mnafanya japo kauchunguzi kujua kama yupo single kabla ya kucheat maana inavoonekana mnabeba vya wenzenu na vyakwenu vikibweba bila kujijua.