Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Well Kelvin you might be right but am not sure cause this has happened one in their marriage life, to me its an incidence and taking the kind of forces that led to the wife's reaction, really I dont know what to say or think anymore...............the light in their marriage seems to be dim and not bright as I expected. Its sad really

Well, if there is no light at the end of the tunnel then calling it quits might be the only best solution left and they can remain to be just good friends if both are willing to go that route.
 
Ngoja nijaribu bro...

A woman was not made to cheat.......

Mwanamke (hapa naongelea wa Kiafrika), aliumbwa kuwa na mume mmoja tu.....Hakupewa nafasi yoyote (na Mungu wake) kuzungusha zungusha kipira!!???????

Kama sijapatia naomba msamaha!!
Ewaaaaa.......hapo sawa kabisa mzee mwenzangu........ if that is the case, kama wanawake ni wengi kuliko wanaume......... wale wanawake wanaokosa wanaume si ndio hapo lile neno jingine linapotakiwa litumike? A man was not made for one woman....
 
Hapo sijaona bado mkimsaidia jinsi ya kuondoa feelings zake kwa mshefa .................siku hizi ushauri umegeuka lawama sishangai kuona hata relationship nyingi zikiingia shimoni sababu ya lawama.......watu wamekuwa hata waoga kusema yaliyo mioyoni mwao maana mwisho wa siku ni vidole juu ya vidole ndio tunaishia kutengeneza nidhamu za uoga.

hakuna feelings.......... Njaa tu mama
 
Nipo Babu..........huwa mnacheat na matundu ya box au wanawake.
Kwa mujibu wa sensa: Wanawake ni wengi kuliko wanaume so huwa tunawasaidia (huwa hatucheat, tafazali tutake razi) wale wanawake wanaokosa wanaume.....Kwa sababu hatukuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja......
 
hivi mnajuaje kama huyu dada alifanya revenge au alifanya coz kama binadamu kamili anahitaji kitimiziwa hilo hitaji?

Mtu yoyote anayefanya revenge ni mpumbavu... tena hasa kwa kutumia mwili wake
 
  • Thanks
Reactions: bht
dada alikuwa na njaa katengeneza feelings ndio tatizo lililopo hapa kapeleka mapenzi kwa mtu asiyejua thamani ya penzi lake bila kujijua .............siwezi muongelea mshefa.

hakuna feelings.......... Njaa tu mama
 
Nakwambia hapa ni mkuki kwa nguruwe...... Mi namshauri bidada wala asichane na mshefa wake kwa raha zake ila tu aendelee kumheshimu mumewe na kamwe asiche kumpa unyumba

mambo mengine ni ya kuchekesha kweli.........na wala huwezi kudhani kuna kiumbe anaweza ongea haya.....
yaani aendelee kumuheshimu mumewe huku anazidi kungonoka na mshefa?
sasa hiyo heshima inayoongelewa hapa iko wapi?
 
MTM na Fide ninaomba niwaulize swali la nyongeza: Suppose huyu mdada angekuja hapa akiomba ushauri wa manyanyaso na abuses anazozipata toka kwa mumewe; kunyimwa haki ya ndoa, kupigwa, mume kulala nje, mngemshaurije??

Ningemshauri arejee sreds nyingine zilizoongelea kuvunjika mahusiano, manyanyaso and the likes

Directly ningemwambia apime kama amefikia ukomo wa mapenzi na mumewe basi asepe, ila kama bado anampenda mumewe basi abaki, waongee na mwenzake na ampakate huku akimlainisha, hakuna mwanaume mgumu duniani

Ila ya kusema hawezi kumwacha mshefa haina tija kwani anaonyesha kabisa ni tegemezi au luzi
 
Directly ningemwambia apime kama amefikia ukomo wa mapenzi na mumewe basi asepe, ila kama bado anampenda mumewe basi abaki, waongee na mwenzake na ampakate huku akimlainisha, hakuna mwanaume mgumu duniani

Hakuna mwanaume mgumu duniani? Mister man you are not every man or are you?
 
The same concern we should have kwa mumewe ambaye anadaiwa kubadilika......kama alicheat mwanzoni, aliabuse n.k. nini kitamzuia kurudia tena??

Kwa mwizi kaingia jambazi.......... wacha waliane timing to... hahitaji ushauri, anahitaji uamuzi
 
Afadhali hujaniuliza mimi.........ningekujibu kwa mujibu wa kanuni zetu na kuongezea na udumishaji wa mila na desturi zetu ambazo najua fika unazielewa sana.

Babu nakuuliza rasmi kwa faida ya wengine.......................lol
Ungemshaurije?
 
Embu niambie huwa mnafanya japo kauchunguzi kujua kama yupo single kabla ya kucheat maana inavoonekana mnabeba vya wenzenu na vyakwenu vikibweba bila kujijua.

Kwa mujibu wa sensa: Wanawake ni wengi kuliko wanaume so huwa tunawasaidia (huwa hatucheat, tafazali tutake razi) wale wanawake wanaokosa wanaume.....Kwa sababu hatukuumbwa kwa ajili ya mwanamke mmoja......
 
mambo mengine ni ya kuchekesha kweli.........na wala huwezi kudhani kuna kiumbe anaweza ongea haya.....
yaani aendelee kumuheshimu mumewe huku anazidi kungonoka na mshefa?
sasa hiyo heshima inayoongelewa hapa iko wapi?
Hapo sasa hata maana ya Heshima hatuijui, Ndo maana mkuu Chloro kule chit chat akauliza inakuwaje mijitu mingine ni mijizi ila bado inaitwa Miheshimiwa?
 
Kwa mwizi kaingia jambazi.......... wacha waliane timing to... hahitaji ushauri, anahitaji uamuzi
You see? Nashangaa watu wanapoteza muda hapa kujadili namna ya kumsaidia mtu kurudisha feelings kwa mmewe...... As if mapenzi yana formula moja...........Kwa hao wawili kwa kuwa wote ni wezi, waache waendelee na mawizi yao kwa timing.........Hamna jinsi....
 
Well Kelvin you might be right but am not sure cause this has happened one in their marriage life, to me its an incidence and taking the kind of forces that led to the wife's reaction, really I dont know what to say or think anymore...............the light in their marriage seems to be dim and not bright as I expected. Its sad really

MJ1,

Hivi hapa bado kuna ndoa kweli?
 
Hahahaha aksanteni kwa kuwajibia hawa kaka zangu am sure haya ndio yangekuwa majibu yao............sasa wekeni scenerio ya pili; aliyekuja kulalamika si mke bali ni mume...........kina MTM na Fide wamshauri afanyeje

Yaani mme aje alalmike kwamba demu wake alikua anamegwa na yeye akaamua kumega sasa mke kabadili lakini yeye kashindwa kunasua mtego??

haitawezekana kamwe
kwanza hakuna mwanaume anayemega nje ati kwasbabu demu wake kamegwa
pili hakuna mwanaume anayenasa sehemu akaomba msaada atokaje
tatu hakuna dume litakalosema demu wangu kabadilika na keshaacha kumegwa kwani to a man, once megwad, always megwad aka kichuri!!

Anaweza tu akaamua kupunguza misele atulie na mamsapu but there is no way atakuja kulalama yule demu anasema keshajiweka sana kwangu na ni mke wa mtu na si vizuri kumuacha

LOL
 
Embu niambie huwa mnafanya japo kauchunguzi kujua kama yupo single kabla ya kucheat maana inavoonekana mnabeba vya wenzenu na vyakwenu vikibweba bila kujijua.
Ukimaua kucheat haijalishi kama unacheat na ambaye yupo single au la? Ili mradi tu mmekubaliana
 
Back
Top Bottom