Matundu ya box!!!😛ainkiller:Nipo Babu..........huwa mnacheat na matundu ya box au wanawake.
Mi naona angemuuliza mumewe kafanyaje mapaka kaweza kurudisha feelings kwakwe? hapo ndo angepata pa kuanzia...!You see? Nashangaa watu wanapoteza muda hapa kujadili namna ya kumsaidia mtu kurudisha feelings kwa mmewe...... As if mapenzi yana formula moja...........Kwa hao wawili kwa kuwa wote ni wezi, waache waendelee na mawizi yao kwa timing.........Hamna jinsi....
sijawahi kuona mwenye njaa ana option ya kachumbari na pilipilidada alikuwa na njaa katengeneza feelings ndio tatizo lililopo hapa kapeleka mapenzi kwa mtu asiyejua thamani ya penzi lake bila kujijua .............siwezi muongelea mshefa.
Ukimaua kucheat haijalishi kama unacheat na ambaye yupo single au la? Ili mradi tu mmekubaliana
We shogake mwanajamiione hebu kuja hapa:Huyo mshefa ilikuwaje?Babu nakuuliza rasmi kwa faida ya wengine.......................lol
Ungemshaurije?
Hakuna mwanaume mgumu dunianiHakuna mwanaume mgumu duniani? Mister man you are not every man or are you?
hahahaha :tea:Matundu ya box!!!😛ainkiller:
You see? Nashangaa watu wanapoteza muda hapa kujadili namna ya kumsaidia mtu kurudisha feelings kwa mmewe...... As if mapenzi yana formula moja...........Kwa hao wawili kwa kuwa wote ni wezi, waache waendelee na mawizi yao kwa timing.........Hamna jinsi....
sijawahi kuona mwenye njaa ana option ya kachumbari na pilipili
Tukizidiwa hata mbuzi akikaa vibaya tunakula mzigo LOL (Afu nani alikudanganya wanaume wanacheat?, wanaume wanawasaidia wanawake kukata kiu zao wanapozidiwa....tutake razi)Nipo Babu..........huwa mnacheat na matundu ya box au wanawake.
We shogake mwanajamiione hebu kuja hapa:Huyo mshefa ilikuwaje?
Ilinibidi kwa kuwa mme wangu alikuwa hanibanjui na alikuwa ananinyanyasa
Sasa ikawaje?
Akatokea mshefa nikakolea
Ehe? Sasa imekuwaje tena?
Amejirekebisha nataka niachane na mshefa lakini sina hisia za mapenzi kwa mme wangu
Umejuaje kama kajirekebisha?
Eeem unajua eeeemmmm
Sema, umejuaje?
Eeem naona kama amebadilika
Alikwambia amejirekebisha?
Ndio babu ODM
Umemwamini?
Ndio babu
Kalaghabaho mkubwa weye..... nani alikudanganya jasiri anaacha asili? Hebu nenda kwa mshefa wako akakutulize kiu yako afu urudi hapa ukiwa na akili tuendelee na maongezi. Nyambaf
Part two will come soon............
KUNA MSEMO UNASEMA NJAA HAINA ADABU!!!Why not friend kama menu inaruhusu?
Tukizidiwa hata mbuzi akikaa vibaya tunakula mzigo LOL (Afu nani alikudanganya wanaume wanacheat?, wanaume wanawasaidia wanawake kukata kiu zao wanapozidiwa....tutake razi)
So Sad! R.I.PNingependa kujua enyi wanaume wenzangu mnavyojisikia na mashauri yenu,
pale dada'ko anapokulalamikia jinsi anavyonyanyaswa na mumewe.
This lady was brutally beaten by her Husband and died a year later, May her soul rest in peace. Amen!
Mnajaza Server yangu na Maxence na maushauri ambayo hayatasaidia kitu.... afu watu wote wamejazana hapa kule kwa Maria Roza nimebaki peke yangu.............Mwambie Chauro na wenzake wanifuate kule uone kama sitakaa pembeni....LOLBabu ndio maana likatumika neno naomba ushauri, kama hujisikii kutoa ushauri kwa kuwa hakuna cha kushauri si ni bora ukakaa pembeni na kuvuta kiko chako?
Kwa nini usituache wenye muda wa kupoteza, tuendelee kuupoteza?
Mtu yoyote anayefanya revenge ni mpumbavu... tena hasa kwa kutumia mwili wake
Tukizidiwa hata mbuzi akikaa vibaya tunakula mzigo LOL (Afu nani alikudanganya wanaume wanacheat?, wanaume wanawasaidia wanawake kukata kiu zao wanapozidiwa....tutake razi)
KUNA MSEMO UNASEMA NJAA HAINA ADABU!!!
MWenye njaa hana chaguzi.............