Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

You see? Nashangaa watu wanapoteza muda hapa kujadili namna ya kumsaidia mtu kurudisha feelings kwa mmewe...... As if mapenzi yana formula moja...........Kwa hao wawili kwa kuwa wote ni wezi, waache waendelee na mawizi yao kwa timing.........Hamna jinsi....
Mi naona angemuuliza mumewe kafanyaje mapaka kaweza kurudisha feelings kwakwe? hapo ndo angepata pa kuanzia...!
 
Ningependa kujua enyi wanaume wenzangu mnavyojisikia na mashauri yenu,
pale dada'ko anapokulalamikia jinsi anavyonyanyaswa na mumewe.

Battered+Olori.jpg

This lady was brutally beaten by her Husband and died a year later, May her soul rest in peace. Amen!
 
dada alikuwa na njaa katengeneza feelings ndio tatizo lililopo hapa kapeleka mapenzi kwa mtu asiyejua thamani ya penzi lake bila kujijua .............siwezi muongelea mshefa.
sijawahi kuona mwenye njaa ana option ya kachumbari na pilipili
 
Wanatuambia atii mwanamke hakuumbwa hivo sasa kinachonishangaza huwa wanacheat na migomba au wanawake .

waache waendelee kujidanganya na uanaume wao inawasaidia wakulima kuendelea kustawisha mazao pheew!!!

Ukimaua kucheat haijalishi kama unacheat na ambaye yupo single au la? Ili mradi tu mmekubaliana
 
Babu nakuuliza rasmi kwa faida ya wengine.......................lol
Ungemshaurije?
We shogake mwanajamiione hebu kuja hapa:Huyo mshefa ilikuwaje?
Ilinibidi kwa kuwa mme wangu alikuwa hanibanjui na alikuwa ananinyanyasa
Sasa ikawaje?
Akatokea mshefa nikakolea
Ehe? Sasa imekuwaje tena?
Amejirekebisha nataka niachane na mshefa lakini sina hisia za mapenzi kwa mme wangu
Umejuaje kama kajirekebisha?
Eeem unajua eeeemmmm
Sema, umejuaje?
Eeem naona kama amebadilika
Alikwambia amejirekebisha?
Ndio babu ODM
Umemwamini?
Ndio babu
Kalaghabaho mkubwa weye..... nani alikudanganya jasiri anaacha asili? Hebu nenda kwa mshefa wako akakutulize kiu yako afu urudi hapa ukiwa na akili tuendelee na maongezi. Nyambaf

Part two will come soon............
 
Hakuna mwanaume mgumu duniani? Mister man you are not every man or are you?
Hakuna mwanaume mgumu duniani

Kama ni mgumu basi asingependa............. remember huyu mwanaume hajui kwamba mkewe anacheat, so if the lady decides to quit cheating, becomes a good woman at home and "massage their relationship at home" anaweza kuopen na kumsaidia mumewe na yeye mwenyewe how best to run their family

HAKUNA MWANAUME MGUMU DUNIANI, THAT IS IT.............. NI PRETENDENCE, TU, NA AKIWA MGUMU KWA WANAWAKE BADI WAWEZA KUTA MLAINI KWA WANAUME IT IS NATURAL;
 
You see? Nashangaa watu wanapoteza muda hapa kujadili namna ya kumsaidia mtu kurudisha feelings kwa mmewe...... As if mapenzi yana formula moja...........Kwa hao wawili kwa kuwa wote ni wezi, waache waendelee na mawizi yao kwa timing.........Hamna jinsi....

Babu ndio maana likatumika neno naomba ushauri, kama hujisikii kutoa ushauri kwa kuwa hakuna cha kushauri si ni bora ukakaa pembeni na kuvuta kiko chako?
Kwa nini usituache wenye muda wa kupoteza, tuendelee kuupoteza?
 
Nipo Babu..........huwa mnacheat na matundu ya box au wanawake.
Tukizidiwa hata mbuzi akikaa vibaya tunakula mzigo LOL (Afu nani alikudanganya wanaume wanacheat?, wanaume wanawasaidia wanawake kukata kiu zao wanapozidiwa....tutake razi)
 
We shogake mwanajamiione hebu kuja hapa:Huyo mshefa ilikuwaje?
Ilinibidi kwa kuwa mme wangu alikuwa hanibanjui na alikuwa ananinyanyasa
Sasa ikawaje?
Akatokea mshefa nikakolea
Ehe? Sasa imekuwaje tena?
Amejirekebisha nataka niachane na mshefa lakini sina hisia za mapenzi kwa mme wangu
Umejuaje kama kajirekebisha?
Eeem unajua eeeemmmm
Sema, umejuaje?
Eeem naona kama amebadilika
Alikwambia amejirekebisha?
Ndio babu ODM
Umemwamini?
Ndio babu
Kalaghabaho mkubwa weye..... nani alikudanganya jasiri anaacha asili? Hebu nenda kwa mshefa wako akakutulize kiu yako afu urudi hapa ukiwa na akili tuendelee na maongezi. Nyambaf

Part two will come soon............

Hapa sasa naamini umeamka hahahahahah the bottom ujumbe hapa ni kuwa aendelee tu kula ila asimshike kipofu mkono!! So asahau mambo ya kuwa mke mwema na blablah zake?! LOL Babu nidai zawadi yako leo
 
Tukizidiwa hata mbuzi akikaa vibaya tunakula mzigo LOL (Afu nani alikudanganya wanaume wanacheat?, wanaume wanawasaidia wanawake kukata kiu zao wanapozidiwa....tutake razi)

Hajakua huyo............. sisi huwa tunakazia swaumu
 
Ningependa kujua enyi wanaume wenzangu mnavyojisikia na mashauri yenu,
pale dada'ko anapokulalamikia jinsi anavyonyanyaswa na mumewe.

Battered+Olori.jpg

This lady was brutally beaten by her Husband and died a year later, May her soul rest in peace. Amen!
So Sad! R.I.P
 
Babu ndio maana likatumika neno naomba ushauri, kama hujisikii kutoa ushauri kwa kuwa hakuna cha kushauri si ni bora ukakaa pembeni na kuvuta kiko chako?
Kwa nini usituache wenye muda wa kupoteza, tuendelee kuupoteza?
Mnajaza Server yangu na Maxence na maushauri ambayo hayatasaidia kitu.... afu watu wote wamejazana hapa kule kwa Maria Roza nimebaki peke yangu.............Mwambie Chauro na wenzake wanifuate kule uone kama sitakaa pembeni....LOL
 
Mtu yoyote anayefanya revenge ni mpumbavu... tena hasa kwa kutumia mwili wake

ndo mana nasema 2tajuaje huyu dada kama alifanya kama revenge au kibinadamu kama alikuwa na hamu/haja ya kimwili? so kwa upande wako kama ni revenge bac dada arushiwe mawe, kama ilikuwa mahitaji ya kimwilli/hamu ikatokea vikanoga bac dada apunguziwe adhabu kama ingekuwepo?
 
Hahaaaaaaaaaaaaaa hapo chacha huduma kwenye mkondo wake ............asante babu.

Tukizidiwa hata mbuzi akikaa vibaya tunakula mzigo LOL (Afu nani alikudanganya wanaume wanacheat?, wanaume wanawasaidia wanawake kukata kiu zao wanapozidiwa....tutake razi)
 
Mbu bahati mbaya sana kaka zetu wengi tukishaolewa huwa wanakuwa kama wametufuta kwenye mioyo yao kama ndugu tunabakia kusubiri kukutana kwenye shughuli za kifamilia au kuzikana, Wachache sana wenye uwezo na moyo wa kuwatetea dada zao wanaonyanyasika kwenye ndoa sijui ndo wanaogopa kuambiwa wanaingilia?? Lakini cha ajabu sie kina dada na vimbelefront vyetu kuwasakama mawifi zetu ooh usitunyanyasie kaka yetu, unamtesa kaka yetu...na saa nyingine hata kama hanyanyaswi tunajifanya Knight Security kwao.
 
Back
Top Bottom