Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

Arudisheje hisia kwa mumewe? ...Msaada tafadhali

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,580
Wapendwa WanaJF.
Natumaini wote mu wazima........naombeni msaada wa namna ya kushauri.

Ni rafiki yetu kifamilia, kwa muda mrefu yeye na mumewe wamekuwa kwenye migogoro ya hapa na pale ya kindoa. Kusema ukweli mumewe amekuwa akimis-behave kwa kipindi ikiwemo kucheat, physical abuse and the like. Mke akawa anaumia, anaconfront wanagombana.. After a while mgogoro ule ukapungua (ile frequency ya wao kuja kushtaki kwetu kesi zao ukapungua na mwisho kuisha kabisa- wadau tukakaa na kumshukuru MUNGU juu ya wokovu huu maana hali ilipokuwa inaelekea ilikuwa inatishia uhai wa ndoa ile).

Juzi kanijia huyo mke ananomba ushauri kama mwanamke mwenzie. Akatoa siri ya mafanikio 'amani' ya miujiza iliyotawala kwenye ndoa yake kwa kipindi kile. Alisema alikujaamua kuwa 'mpole' asimfuatilie mumewe wala asijihangaishe naye....alitafuta 'mshefa' wa pembeni naye akawa anajilia raha kwa nafasi!!!....sikuamini lakini kutokana na matatizo aliyokuwa nayo kipindi kile nadhani nilimwelewa ingawa sikuafiki.

Sasa anadai mumewe amejirekebisha sana na amebadilika na kuwa 'mume' tatizo liko kwake amejikuta amedevelop hisia kali za mapenzi kwa 'Mshefa' kuliko kwa mumewe na kila akijaribu kumuacha huyu jamaa anashindwa maana anasindwa kujicontrol kabisa. Not only that hata 'Mshefa' huyo hana dalili za kumsaidia 'kurudi' kwa mumewe kihisia kwani kila mara anakuwa kama anamblackmail vie kuwa anampenda na eti somehow huyu mwanamke amesababisha kutokuelewana flani kati yake yeye 'Mshefa' na mkewe nyumbani kwake. So kila mdada akijaribu kumuacha 'Mshefa' mshefa anakuja juu kimapenzi yaani anachochea vile.

Mdada anasema mumewe alishagundua juu ya cheatignyake lakini akamsamehe baada ya mke kukiri na kuapa kuacha. Ila sasa ndo anashindwa kihisia yuko kwa 'Mshefa' zaidi ya mumewe. Anaomba msaada afanyeje a'rudishe' mapenzi na hisia kwa mumewe??

Amekiri kuwa alifanya kosa na anajutia kutafuta 'faraja' nje ya ndoa.

Naombeni tumsaidie .....Nitawaacknowledge msijali
 
figa moja haliiivishi ugali eeh???halooo.....mwambie aendelee hivyo hivyo kama mumewe yuko happy,na service zote anazipata akitaka...shida ya nini? mbona wenyewe wanatupanga......kosa ni kumfanyia dharau au kutompa haki yake kama mume baasi,hayo mengine hayamuhusu haluuuuuuuuuuuuuuu
 
The Boss leo unaguna sana.......vipi umefakamia mihogo bila kunywa maji?lol
 
Kumbe wanawake nao huwaga wanacheat? Maajabu ya mwaka hayo!
 
Mshauri aendelee na Mshefa - Ndoa za siku hizi "nyumba ndogo" na "vidumu" ni muhimu sana!
 
Ajaribu kuangalia ni nini anakipata kule na huku hakipo.... ajaribu kumwambia mwenza wake na yeye aki-provide...

Kama hakihamishiki basi kuna choice mbili..., either amuache huyo mwenza wake aende huko anapotaka au akijifunze kuhishi bila huyu mshefa.., kumbuka mshika mawili yote humponyoka....
 
ndoa hizi dah heri nitafute kiserengeti changu nijisevie wallah
 
Kumbe wanawake nao huwaga wanacheat? Maajabu ya mwaka hayo!
<br />
<br />
Mo than u can imagine! Hivi wanawake wote mnaokutana nao u think they r single eeh!

Acheni muone kama tutajido wenyewe!
 
aliponifufurahisha mj01 ni hapo aliposema hakuamini kuwa mwenzie ana cheat...lol mbavu zangu mimi lol

na hapo aliposema alikiri na kuapa lol duh.....jaribuni stand up comedy jamani lol
 

...sio zito kivile.

'Mshefa' angekuwa hana mke,...ningekuwa na ushauri mwingine.
Mume amejirudi, na mke amekiri mapungufu yake katika ile tapatapa ya
kutafuta maliwazo,...

Fire-Extinguisher-Cartoon.jpg
...mshauri; hana haja tena ya kendelea kushikilia fire extinguisher ilhali moto ushazima.
 
Aiseee!!

Apime umuhimu wa kuendelea kua mke na mapenzi ya mshefa!!Alafu kama VoR alivyosuggest aangalie yanayomvutia kwa mshefa aone kama anaweza akayapata kwa mume...kama ni mavazi aanze kumpendezesha...kama ni mitoko waanze...kama ni kubembelezwa amjulishe mume hitaji lake na kadhalika!!

Inasikitisha kwamba wote wameharibu alafu mmoja anashindwa kujirudi.
 
<br />
<br />
Mo than u can imagine! Hivi wanawake wote mnaokutana nao u think they r single eeh!

Acheni muone kama tutajido wenyewe!

can we?
me and you...cheat.?.lol
 
Mimi shida yangu ni mtandao wa ngoma tu, lkn as long as nobody is hurting; it is a better arrangement! Ingekuwa vyema mume akamuibia naye mshefa!
 
Back
Top Bottom