ArushaArumeru ndio Arusha au Wapi Kilimanjaro?
Mashindano ya kifo haya...Kijana Mmoja katika kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano.
Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni dereva bodaboda kuwa ni mfadhili wa mashindano hayo.
Bodaboda huyo hununua pombe hizo za bei rahisI na hivyo kujifungia ndani na vijana wenzie wakinywa pombe hizo asubuhi mpaka usiku.
Baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wamesema ni kawaida sana kukuta vijana wakinywa pombe asubuhi hadi usiku.
Unaishi nchi ganiPombe inauaa vp mtu aiseee..? Yaan anywe beer na kufa au alikuwa kwenye dozi ya dawa.
Am proud to be a muslimKijana Mmoja aitwae christofer
Inahusianaje hapo?Am proud to be a muslim
Huyo boda boda itakuwa dili zake ni kusafirisha mirungi au bange maana kwa kipato cha bodaboda hawezi kufanya matumizi hayo tena Arumeru!?Ndio makafara ama? Nini anapata kwa kufanya hiyo michezo as anajifungia ndani na sio upenuni.
Uhuru Kenyatta au sio kwa sababu kumejaa Wadudu? Inabidi pafanyiwe famigesheniArusha siyo kuzuri tena. Hilo jimbo au mkoa apewe Uhuru,
Upenuni ndio wap.....?Ndio makafara ama? Nini anapata kwa kufanya hiyo michezo as anajifungia ndani na sio upenuni.
Upenuni hivyo hivyo upenuni we unajua upenuni Wapi?Upenuni ndio wap.....?