Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano.
Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni dereva bodaboda kuwa ni mfadhili wa mashindano hayo.
Bodaboda huyo hununua pombe hizo za bei rahisi maarufu kama takeaway na hivyo kujifungia ndani na vijana wenzie wakinywa pombe hizo asubuhi mpaka usiku.
Baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wamesema ni kawaida sana kukuta vijana wakinywa pombe asubuhi hadi usiku.