muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 15,301
- 13,858
Pombe inauaa vp mtu aiseee..? Yaan anywe beer na kufa au alikuwa kwenye dozi ya dawa.
Pia hiyo aliyokunywa sio bia ni hizo pombe za asili ambazo hazina kiwango maalum cha kilevyi
Cpajui mkuu ndio maana nmeuliza..Upenuni hivyo hivyo upenuni we unajua upenuni Wapi?
Am proud to be a muslim
Diamond... inaitwa mondiKijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano.
Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni dereva bodaboda kuwa ni mfadhili wa mashindano hayo.
Bodaboda huyo hununua pombe hizo za bei rahisi maarufu kama takeaway na hivyo kujifungia ndani na vijana wenzie wakinywa pombe hizo asubuhi mpaka usiku.
Baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wamesema ni kawaida sana kukuta vijana wakinywa pombe asubuhi hadi usiku.
Jipenuepenue kwa nyuma utapaona upenuniCpajui mkuu ndio maana nmeuliza..
Ndio nini pombe au pombe kali?Diamond... inaitwa mondi
Pombe zina viwanda na viwanda vipo kwa ajili ya watu kuna watu wanashusha mahekalu kwa kuuza pombe, drink responsibly usinywe kukomoa unamkomoa nani?Imagine kuaga dunia kwa ajili ya ujinga kama huu jamanii hafikirii hata familia yake jamani, shetani anajua kututesa khaaa 😡
Kweli kabisa Mtani huyo jamaa kayataka.Mashindano ya kifo haya...
Atakua anaitwa Christopher KufakunogaKweli kabisa Mtani huyo jamaa kayataka.
Wapi wewe?Am proud to be a muslim
Sehemu ya wazi.Upenuni ndio wap.....?
Pombe chafuNdio nini pombe au pombe kali?
Wavaa makobazi bhana 🗑️Am proud to be a muslim