Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

Pombe inauaa vp mtu aiseee..? Yaan anywe beer na kufa au alikuwa kwenye dozi ya dawa.
Screenshot_20240708-095847.png
 
Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano.

Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni dereva bodaboda kuwa ni mfadhili wa mashindano hayo.

Bodaboda huyo hununua pombe hizo za bei rahisi maarufu kama takeaway na hivyo kujifungia ndani na vijana wenzie wakinywa pombe hizo asubuhi mpaka usiku.

Baadhi ya wakazi wa kijiji hicho wamesema ni kawaida sana kukuta vijana wakinywa pombe asubuhi hadi usiku.
Diamond... inaitwa mondi
 
Imagine kuaga dunia kwa ajili ya ujinga kama huu jamanii hafikirii hata familia yake jamani, shetani anajua kututesa khaaa 😡
Pombe zina viwanda na viwanda vipo kwa ajili ya watu kuna watu wanashusha mahekalu kwa kuuza pombe, drink responsibly usinywe kukomoa unamkomoa nani?
 
Back
Top Bottom