Arumeru-Arusha: Mvua kidogo tu umeme umekata, what's this?

Kuanzia saa 11 unusu jioni hii imepita mvua kidogo tu Arumeru-Arusha umeme umekata, jamani hii miundombinu imejengwa na nini? Hii ni aibu! Kwa hiyo gizani mtindo moja
Unashangaa huko njoo mitaa ya ifakara,ilovo, mikumi na kilosa,huku manyunyu tuu wanakata usiku wote,wanasema mameneja siku hizi Wana remort ya kukata umeme usioeleweka. Wakati huko kwenye vimbunga kama vyote I mean USA mambo ni tofauti.We are slave of our own fate.
 
Kuanzia saa 11 unusu jioni hii imepita mvua kidogo tu Arumeru-Arusha umeme umekata, jamani hii miundombinu imejengwa na nini? Hii ni aibu! Kwa hiyo gizani mtindo moja
Subiri umeme wa uhakika kutoka Ethiopia 🇪🇹
 
Kuanzia saa 11 unusu jioni hii imepita mvua kidogo tu Arumeru-Arusha umeme umekata, jamani hii miundombinu imejengwa na nini? Hii ni aibu! Kwa hiyo gizani mtindo moja
We na bichwa lako Kila siku kuisifia ccm na mama yenu ndo mkomae na Hali zenu sasa
 
Kuanzia saa 11 unusu jioni hii imepita mvua kidogo tu Arumeru-Arusha umeme umekata, jamani hii miundombinu imejengwa na nini? Hii ni aibu! Kwa hiyo gizani mtindo moja
Wa Ethiopia hautakatika.
 
Ila waethiopia wanaweza maana wamejenga bwawa lao kwa pesa zao wenyewe hakuna kuombaomba kutembeza bakuli

Ova
 
Back
Top Bottom