The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 747
- 2,112
Hiyo sio ya kukosa.
JPM ndani ya Chuga,
Usisimuliwe nenda mwenyewe ukajionee historia ikiandikwa.
Wivu umekujaa.ccm kwisha habari !
Unawezaje kuionea wivu maiti ?Wivu umekujaa.
Utabaki kusema hivyo hivyo.unawezaje kuionea wivu maiti ?
No free will....ni lazima kwenda unataka hutaki.Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.
View attachment 1607780
Lazima kuhudhuria bila kukosa hii ndio tofauti ya umati wa CHADEMA vs ule wa CCM.Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.
View attachment 1607780
Safi Sana. Hawa ndio wakuu wa vyuo wanaojitambua.Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.
View attachment 1607780
Hiyo sio ya kukosa.
JPM ndani ya Chuga,
Usisimuliwe nenda mwenyewe ukajionee historia ikiandikwa.
Mwiba hutolewa pale pale ulipoingilia.MWIBA HUOOOOO.
Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.
Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.
View attachment 1607780
Kwani Lissu hakutinga Chato? Na alipiga nyomi bila mabarua ya kulazimishanaDadek anatinga mpaka Arusha, basi bana hakuna cha ngome wala ngombe tena, CCM nchi nzima