Uchaguzi 2020 Arumeru, Arusha: Watumishi wa Chuo cha Misitu Olmotonyi watakiwa kwenda kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM bila kukosa

Uchaguzi 2020 Arumeru, Arusha: Watumishi wa Chuo cha Misitu Olmotonyi watakiwa kwenda kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM bila kukosa

Nani anamdhihaki?

Mliopanga na kutekeleza mauaji yaliyofeli, matibabu mkamnyima... kaenda kuponea nchi za watu leo mnasema msaliti kwa vile mlitamani abaki mummalizie!

Sema yeye hatolipiza, hivyo kaeni kwa kutulia.
 
Mliopanga na kutekeleza mauaji yaliyofeli, matibabu mkamnyima... kaenda kuponea nchi za watu leo mnasema msaliti kwa vile mlitamani abaki mummalizie!

Sema yeye hatolipiza, hivyo kaeni kwa kutulia.
Upuuzi mtupu, uliniona wapi napanga hayo mauaji?
 
Sasa ubaya uko wapi hao ni watumishi wa serikali na huyo wanaeenda kumsikiliza ni bosi wao ,tatizo lenu chadema hamna hao watu wa kuwaita kwa barua ndio maana uwa mnatangaza tu ,kwanini mnatangaza lengo lenu si kuita watu kama kama munatumia mitandao na magari ya matangazo kuita watu maana yake kwamba mnaitaji watu kama mnao mifukoni kwanini muwatangazie.
Sio kwele

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Halafu utasikia "wana Arusha asanteni kwa kuvunja record,huu ni upendo wa hali juu kwa kujaa namna hii"
Kumbe nyuma ya pazia kuna shinikizo la watu kufika!Hii inaitwa kujitekenya na kucheka mwenyewe!
 
Jana kuna jamaa yangu anasema watu walisombwa toka Rombo, Marangu, Kilema, Kirua, Old Moshi, Machame, Same, Mwanga, Siha ili kwenda kujaza nyomi la Magufuli chuo cha ushirika. Japo ameenda ila kura ni ✌️✌️✌️✌️✌️

Kesho ni Neema kwa makampuni ya usafirishaji Kuwaleta wananchi kwenye mkutano wa CCM huwa sijaifahamu connection ya kumleta MTU kwenye mkutano halafu Kura ni siri yake
 
Lazima kuhudhuria bila kukosa hii ndio tofauti ya umati wa CHADEMA vs ule wa CCM.
Halafu leo eti mtu anamfananisha Lissu na Magufuli kweli jamani

Kwa Lissu halazimishwi mtu unakwenda kwa hiari yako mwenyewe

Kwa Lissu hakuna show la Fiesta kusema labda watu wamefuata show ya JEJE live ya DIAMOND au MEDIOCRE ya KIBA wala hakuna show ya KONDE GANG wala NANDY ... !!!

Ni mapenzi ya kweli kutoka moyoni ... !!!

#NI YEYE 2020
 
Mbona kawaida sasa unapewa na round trip ticket kuna shida gan hapo
 
Magufuli kajigeuza kuwa Mfalme tumkatae katakata kwenye kisanduku cha Kura
 
Ni Rais anafanya mkutano au mgombea Urais? Disgusting!!
Exactly, huyu Ni Mgombea na sio Prezidaa mpaka aapishwe Tena....

Nadhani wananchi wanatakiwa kuelekezwa vizuri na sheria ibadilike, mtu akigombea basi akae pending na kuwe na interim government ambayo itakabidhi upya nchi kwa President elect
 
Hao wafanyakazi watakuwa na matatizo vichwani mwao.wameminywa miaka yote mitano bila kupanda mishahara,no annual increment halafu leo mdanganywe haya kazi kwenu.
 
Wafanyakazi wa Chuo cha Misitu cha Olmotonyi cha wilayani Arumeru mkoani Arusha wametakiwa kufika bila kukosa ili kusikiliza sera za mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi.

Taarifa ya Mkuu wa Chuo imeeleza kuwa leo tarehe 22 Oktoba usafiri utakuwepo kuanzia 1:00 asubuhi kuwafikisha watumishi katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Wilaya, maeneo ya Usa River.

View attachment 1607780
Kwani kuna tatizo kumsikiliza raisi wao? Kama inakuuma chomoa!
 
Back
Top Bottom