Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Mawakala wa CHAUMA bado wanasota ofisi ya DED ARUMERU. Siku ya kwanza waliambiwa fomu zimepotea. Baada ya muda kuongezwa sasa DED anadai mawakala wametoka wapi wakati chama hakina mgombea ubunge.
Viongozi wametishiwa kuwekwa ndani. Mmoja aliyekuwa mbishi alikamatwa na kupelekwa polisi bahati nzuri wakashidwa namna ya kuandika kosa lake kwenye kitabu cha mapokezi pale polisi USA RIVER, akaachiwa. WAMEAPA KUTINGA VITUONI ILI LIWALO NA LIWE.
NB: Hili suala so dogo, mainstream media fuatilieni hili swala dunia ijue aina ya wasimamizi tulio nao.