financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hivi ni kweli maana siamini kabisaππππNimeona clip ya mwandishi wa daily news anarepoti toka Kijiji hicho aruneru huko.....inachekesha ila watu wanatembea wamejifunika ndoo
Ingia Instagram angalia Page ya Daily news au habari leo utaonaHivi ni kweli maana siamini kabisaππππ
Akaange drone za watu na maweMrusi atazidi kupoteana. Tumuhurumie
Halafu sasa Putin akigundua hiyo tech imetokea tz unadhani nini kitafuata?Waafrica sisi niwajinga sana, Uchawi ni Technology iliyo mbele ya wakati tukiitumia vizuri itatunufaisha.
Mfano hii technology ya mawe kurushwa na watu wasiojulikana, juju, kutupiwa majini tunaweza kuwauzia Ukraine wapambane na urusi.
Wakati Urusi wanaangaika kuingilia mawasiliano ya Ukraine, wao Ukraine wanatumia tu Ramli wanaona mipango yote ya Urusi alafu wanatuma juju wanajeshi wote wanakuwa vichaa , Au wanatumiwa mawe yasiyoonekana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi tukio la kweli..nona mshikaji anaishi maeneo hayo.Mizimu ya kiafrika bana eti nayo haina hela inarusha mawe tu..[emoji23]
Ni kweli..Wameru ukiwaudhi utasikia " Kaba jabali" maana yake piga jiqe huyo.Wameru silaa yao ni mawe mi lisoma makumira sec kuna kamto tulikuwa tunaenda kuoga gafla unashangaa mawe hujui hata yametokea wapi,walikuwa hawataki tuoge kwenye ule mto
Shida ni viungo vyake sasa vya kuukamilsha uchawi ndio havikubaliki. Kwa mfano ili ungo wa kichawi upae yanahitajika mafuta ya binaadamu mtoto mchanga. Gear lever ni uchi wa kiume, honi matiti ya binadamu etc etc. Vipi mpaka hapo tuendelee na tekinolojia ya kichawi?Waafrica sisi niwajinga sana, Uchawi ni Technology iliyo mbele ya wakati tukiitumia vizuri itatunufaisha.
Mfano hii technology ya mawe kurushwa na watu wasiojulikana, juju, kutupiwa majini tunaweza kuwauzia Ukraine wapambane na urusi.
Wakati Urusi wanaangaika kuingilia mawasiliano ya Ukraine, wao Ukraine wanatumia tu Ramli wanaona mipango yote ya Urusi alafu wanatuma juju wanajeshi wote wanakuwa vichaa , Au wanatumiwa mawe yasiyoonekanaππππ
Kideo kipo kwa millard ayo[emoji15][emoji15][emoji15]
Na hakuna kideo.. wananchi wa nchi hii wanavyopenda kurekodi hatari bila kusaidia.. wow
HahahahaShida ni viungo vyake sasa vya kuukamilsha uchawi ndio havikubaliki. Kwa mfano ili ungo wa kichawi upae yanahitajika mafuta ya binaadamu mtoto mchanga. Gear lever ni uchi wa kiume, honi matiti ya binadamu etc etc. Vipi mpaka hapo tuendelee na tekinolojia ya kichawi?
Waandishi wa Habari mkoani Arusha wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika Kijiji cha Kiwawa Wilayani Arumeru, ikiwa ni baada ya waandishi hao kufika kwenye eneo hilo kufuatilia taharuki ya wananchi kupigwa kwa mawe yanayohisiwa kurushwa na mizimu. https://t.co/NrIFpDXwV0View attachment 2234707
Maendeleo n tuone barabara, madawati shuleni, upatikanaji wa maji bila kujua yamekuja vp. Yani unaamka unakuta ile njia jana usiku iliyokuwa haipitiki bc asubuhi unakuta ni lami mwanzo mwisho.Mkuu mawe kutokea kusikojulikana hayo sio maendeleo?πππ
Hao unawaita wapumbavu wanaweza kurusha mawe kutoka kusikojulikana na hii wanaweza kuitumia kama siraha ya kujilinda tena kwa gharama nafuu, wewe unaweza kufanya nini?
Sawa, mbona hatujawahi kuona maendeleo ya nchi yamepatikana kupitia uchawi, mfano hata TZ tufike kombe la dunia kupitia uchawi.? Huu uchawi utausikia kwenye mambo ya kijinga jinga tuu.Waafrica sisi niwajinga sana, Uchawi ni Technology iliyo mbele ya wakati tukiitumia vizuri itatunufaisha.
Mfano hii technology ya mawe kurushwa na watu wasiojulikana, juju, kutupiwa majini tunaweza kuwauzia Ukraine wapambane na urusi.
Wakati Urusi wanaangaika kuingilia mawasiliano ya Ukraine, wao Ukraine wanatumia tu Ramli wanaona mipango yote ya Urusi alafu wanatuma juju wanajeshi wote wanakuwa vichaa , Au wanatumiwa mawe yasiyoonekanaππππ
Hayo yalikua yanarushwa na watoto wa karibu na huo mtoWameru silaa yao ni mawe mi lisoma makumira sec kuna kamto tulikuwa tunaenda kuoga gafla unashangaa mawe hujui hata yametokea wapi,walikuwa hawataki tuoge kwenye ule mto
Wakati wa Lyatonga Mrema Kesi za dayosisi waulize ilikuaje ilibidi aende kuwaomba baada ya kutumia silaha kukwamabunduki tupu au bunduki na risasi? jiwe ili likupate vizuri linahitaji uwe karibu... acha kufananisha manati ya mzungu na wameru wako, wataondoka kama wenzao wa songea na maji yao.
Uchawi upo kijanaaMambo ya kipumbavu kabisa. Hakuna kitu kama hicho.