Arumeru: Wandishi wa habari wapigwa mawe na mizimu na kutimka mbio. Mawe hayajulikani yanatoka wapi. Yanamwagika kama mvua

Wakati wa Lyatonga Mrema Kesi za dayosisi waulize ilikuaje ilibidi aende kuwaomba baada ya kutumia silaha kukwama
Sioni wakikuelewa
Achana na Mmeru akikuangalia tuu unaweza kufa jicho tuu na huwa wana macho mabaya kabisa
 
Waandishi hawajachuku hata video ya sekunde Tano wanavyokimbia??
 
Hatuwezi kuuza tecnology kwa nchi inayoshindwa. Huko tutafanya soko life. Tuwausie washindi warusi ili tuje tuseme "isingekuwa sisi kuwauzia tecnology mpya wasingeshinda. Hiyo itasababisha hela yetu kupanda thamani mataifa ya magharibi yatapishana kuja kununua tecnology ili wakapambane na urusi. Watatushawishi tuache kuwauzia warusi huku wakitupa mikopo isiyo na riba. Watajipendekeza sana juu yetu
 
Tunatumia viungo vya maiti kutoka mochwari tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…