Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

Hapo hakuna Mtumishi wa Mungu. Kule kujiita NABII MKUU tu tayari huyu anajitukuza mwenyewe na hatangazi utukufu wa Mungu. Hata kwenye vitabu vitakatifu hatujawahi kusikia cheo hicho. Wapo manabii tu lakini sio MANABII WAKUU.
Hata kujiitta Nabii ni kujikweza...acha Mungu akukweze...
 
Huyu nabii kitambi chake kikoje, kuanzia hapo alipofunga mkanda kwenda chini?🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Halafu ajabu anayejiita nabii mkuu anafurahia na kuona ni sawa! Mume mwenye kujitambua hataacha mke wake aende kanisa la namna hiyo
Nabii katoka speed ya furaha.
 
Hakuna tatoo kwenye Ukristo kama nabii anayajua maandiko ilitakiwa ajenge amuambie tatoo ni dhambi na sio anatoka mbio kwa furaha. Mama kapewa milioni moja na kahadiwa milioni 3 na Nabii mgawa pesa kwa kuchora tu tatoo. Ngoja nami niandae bango la kumpongeza kama mashimo sijui tapewa ngapi.
 
Hapo hakuna Mtumishi wa Mungu. Kule kujiita NABII MKUU tu tayari huyu anajitukuza mwenyewe na hatangazi utukufu wa Mungu. Hata kwenye vitabu vitakatifu hatujawahi kusikia cheo hicho. Wapo manabii tu lakini sio MANABII WAKUU.
KWA maana yao yupo sahihi
 
Kama ambavyo Wakatoliki wanavyoabudu masanamu ya bikira maria na kuomba eti awaombee.

Upumbavu kabisa! Mfu au sanamu mfu linawezaje kukuombea????
 
Ujinga wa mwafrika
 
Eti Mheshimiwa Nabii , [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hii dini ina maigizo sana huyo isa ndo aliwafundisha hvyo.
 
Imani ni somo pana sana kwahiyo ni ngumu kulielewa. Wachina wanaabudu sanamu hata india lkn wapo mbali sana kiuchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…