Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

Hii habari ni ya 2014 lakini
 
Hawa ndio wanaoaibisha ukristo

Isaya 4:1
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.
KWA wanaojua maandiko awashangai
 
Tafsiri mbaya ya maandiko, mtumishi anafurahia tattoo? Biblia anayosoma haikatazi au anasoma Biblia ya kwake peke yake? Mtumishi anachekelea kusikia ndoa imevunjika kwa ajili yake! Na kanisa nalo linapiga makofi kushangilia duh!
 
Na pesa juu akampa
Mungu wao sio Mungu wetu
 
Huyo mwanamke ni muhuni tu, inakuwaje anachora tatoo ya mtu mwingine wakati ana mume? Angechora ya mume wake isingekuwa shida
 
Dangaji kabisa
Hao wote wanaoenda hapo
Ni wazushi tu kama wale waliyokuwa wanajifanya masheikh wa mkoa wa dar 😄
Kumbe matapeli tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…