Arusha: Abiria wa Mikoani wamekwama!

Arusha: Abiria wa Mikoani wamekwama!

Hossam

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
3,544
Reaction score
2,169
Tangu alfajiri abiria wapo na hakuna dalili ya kwenda mikoani. Fununu zilizopo ni kuwa darajani kwa Msomali pamejaa maji. Naweka picha ya stendi ndogo Arusha. Tunaomba mwenye taarifa kamili asaidie.

Pangu Pakavu.
 

Attachments

  • 20240414_084001.jpg
    20240414_084001.jpg
    3.5 MB · Views: 3
Back
Top Bottom