Arusha: Ajali ya lori lililogonga magari matatu yajeruhi watu 9

Arusha: Ajali ya lori lililogonga magari matatu yajeruhi watu 9

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Watu 9 wamejeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari 3 madogo kugongwa na lori aina ya Scania namba T.673 AXB lenye trela namba T.464 AWZ lililokuwa na shehena ya mahindi, likitokea Arusha kwenda Namanga ambapo majeruhi wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Arusha, Mount Meru kwa matibabu.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha.

ITV
 
Cc Kinana .

Alitoa trafic ili meno ya tembo yapite kirahisi lakini sasa ajali zimeongezeka
Kwan kazi ya trafiki ni kulundikana mabarabarani bila sababu za msingi? Jukumu la kwanza la usalama barabarani linaanza na wewe
 
Cc Kinana .

Alitoa trafic ili meno ya tembo yapite kirahisi lakini sasa ajali zimeongezeka

Kagueni ma scania yote, yatakuwa ni mabovu:

IMG_20220729_082949_635.jpg
 
Back
Top Bottom