Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Tetesi: Arusha: Aliyehama Kutoka CHADEMA na Kwenda CCM Afukuzwa kwenye Nyumba na Kanisani Waumini Wamkimbia

Ar ile nchi nyingine madem wanapiga roba gest we jipindue unaona bonge la demu ukiingia geto anakutaim ile unavua shat anakupiga bonge la roba anakupukutisha ela anasepa

Mkuu siku moja nilienda Arusha hali ya hewa ikanipa ' ushawishi ' wa kutaka nisilale peke yangu hivyo nikaona kwa baridi lile ngoja tu ' nikabai ' Demu ile natiririka na naserereka ile mitaa ya kilipo sasa Chuo cha Nelson Mandela African Institution of Science and Technology ( NM-IST ) nikakutana nao kama Wawili Watatu wanaelekea maeneo yao ya ' matukio ' tayari kusubiri kwenda kupata ladha ya ' Mikuyenge ' yetu basi Mwanamume nikajilipua na ' Kumtongoza ' mmoja wao ile ananitajia tu Bei nikaona analiweka sawa ' Panga ' lake alilokuwa amelificha ' mbavuni ' huku anatoa ' Fegi ' kuwasha avute. Nisikuficha pale pale ' Mkuyenge ' wangu ' ulisinyaa ' wote na nakumbuka tokea usiku ule pale ' Mkuyenge ' wangu haukunipa tena ' ushirikiano ' wa kusimama / kudinda hadi siku ya Tatu ulipokuja ' Kudindia ' wakati Basi nililokuja nalo Dar lilipokuwa linakaribia maeneo ya Mlandizi.

Sina hamu na huo Mkoa hakyanani na ukitaka tugombane nipe ' ruti ' ya kwenda Arusha nitakutungia ' uwongo ' wa kila aina ili tu nisiende japo ndiyo Mkoa ambao hata Ubatizo wangu nimeupatia hapo tena katika Kanisa la Katoliki la pale Kaloleni kama unaenda AICC na pia niliwahi sana kuishi Mianzini enzi hizo. Si huwa mnasema Dar es Salaam kuna Wajanja na Masela sasa nendeni Arusha ndipo mtawaona Wajanja na Masela halisia.

Shikamoo Arusha.
 
Kuna rqfik yake mchungaji mwenzake niliongea naye jana anasema huyo mhungaji ni hatari zaidi ya ilivyoelezwa hapa, n mrushi kauzwa mpaka viwanja vya serikali yatakriban mil 200. Sasa hii ya kuja CCM ni kukimbilia kwenye chaka la kujificha
 
Back
Top Bottom