The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema jana Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM amepokea kadi za waliokuwa wagombea wa chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA wakati wa ufunguzi wa Kampeni hizo.
Wanachama hao kutoka CHADEMA wamekabidhi kadi zao na kujiunga rasmi na CCM.
Soma pia: Arumeru: Wagombea CHADEMA Mbuguni waenguliwa, huenda wakasusa!
Wanachama hao kutoka CHADEMA wamekabidhi kadi zao na kujiunga rasmi na CCM.
Soma pia: Arumeru: Wagombea CHADEMA Mbuguni waenguliwa, huenda wakasusa!