Arusha: Aliyeua na kuondoka na kichwa cha mlinzi ni mlinzi mwenzake

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Raymond Mollel amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mlinzi mwenzake kwa kumchinja na kuondoka na kichwa chake bila kuiba kitu eneo la tukio.

Mtuhumiwa huyo amekiri kuhusika na mauaji na kuonesha alipokificha kichwa cha mwenzake. Raymond na marehemu walikuwa walinzi wa Meya wa Arusha, Maxmillian Iranghe.

Pia, soma: Arusha: Mlinzi auawa kwa kuchinjwa, wauaji waondoka na kichwa

Millard Ayo, Video
 
Huenda alitaka apate mishahara miwili, walinzi wanalipwa mishahara kiduchu.
 
Duh aisee huyo masai mbona katisha yani kaondoka na kichwa cha mwenzie kabisaaa.loh hatarisana huko TZ
 
Back
Top Bottom