Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
100%Madini, mke, kaondoka, makazi ni FFU, alimtuhumu mke anatoka nje ya ndoa, ni mfanya biashara na mchimbaji, kanywa sumu kituoni?????
Hakuna mgumu wa kwenye madini anayekata tamaa kizembe hivyo na kunywa sumu aache huku nyuma watu asiowaamini....
Kuna zaidi ya hii hadithi...
NIKAJUA MWANANU WA chitoholiNilivyosikia Chinga nikajua atazikwa Chipuputa
hata mimi nashangaaaHiyo sumu aliitoa wapi sasa hapo kituoni, na alienda kujificha ndo akainywa?
Alazwe pema peponi kamanda chinga
Ni rika moja na yule kijana raisi wa Senegal ila kwa sababu ni chinga ndo maana unahisi ni mzeeKijana wa miaka 48....
Alooh nmestuka kuona 48 nikijana.Miaka 48 nadhani sio kijana.
. .. itakuwa alikuwa amejipanga "just in case".Hiyo sumu aliitoa wapi sasa hapo kituoni, na alienda kujificha ndo akainywa?
Alazwe pema peponi kamanda chinga
ebooo! analalaje peponi wakati Amejiua? hata bibilia haitaki huo ujingaHiyo sumu aliitoa wapi sasa hapo kituoni, na alienda kujificha ndo akainywa?
Alazwe pema peponi kamanda chinga
[emoji1787][emoji1787] mwenyewe nimeshangaa mkuuHuyo kijana wa miaka 48 anapatikana tanzania tu....na anaweza kuwa mwenyekiti wa BAVICHA AU UVCCM
aa wapi.. ujiue halafu upumzike kwa amani? nani kasemaApumzike kwa amani.
48yrs eti dogo..! hii nchi sihami haki ya mama [emoji28]Dogo aliona bora yaishe kuliko kuendelea
Watu wa Arusha wanaongoza sana kwa hisiaaa -- akishapachika kitu moyoni ni ngumu kukiondosha
Tupende wenza 60%, 10% ndugu na 30 % jipende mwenyewe
Down with a crack inawatesa sana vijana wenzanguKijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha.
Kijana huyo Mkazi wa FFU iliyopo kata ya Murieti alikuwa akifanya kazi migodini ya uchimbaji wa Madini alikuwa na mgogoro wa kifamilia yeye na. Mke wake baada ya kutuhumu Mkewe kuwa na mahusiano nje ya ndoa na baada ya muda mke kuamua kuondoka na kwenda kuishi Mwenyewe na kwenda kuripoti polisi kuwa mumewe anamtishia na silaha.
Chinga alipigiwa simu na polisi akiwa kwenye mazishi ya kaka yake huko moshi Kilimanjaro Juu ya kwenda kuripoti kituoni.
Baada ya kurejea kutoka msibani Na kwenda kuripoti polisi Akiwa kituoni yalitokea mabishano kati yake yeye na Polisi na hivyo kuamua Kunywa sumu akiwa kituoni na kufariki dunia akipelekwa kituo Cha Afya Murieti.
Mwili wa marehemu Chinga umesafirishwa kwenda kuzikwa kwao Machame mkoani Kilimanjaro.
Balozi wa mtaa huo ndugu Yahaya Abbasi amesema yeye hajawahi kuletewa Mashitaka yoyote kuhusiana na mgogoro wa kifamilia katika familia hiyo.
Mwenyekiti wa mtaa wa FFU BI Veronica Guta Amethibitisha kutokea Kwa tukio hilo hilo katika mtaa wake.
Geuza cute afu ndugu weka 30%Tupende wenza 60%, 10% ndugu na 30 % jipende mwenyewe
Ndio, Huoni Nape, January na Mwigulu wanaitwa vijana?Hivi miaka 48 ni kijana??
I smell foul playKijana mmoja aliejulikana kwa jina maarufu chinga Mwenye wa miaka 48 amekunywa sumu akiwa katika kituo cha polisi Murieti Mkoa wa Arusha.