Arusha Baridi

Kwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje? It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.

Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty dates even for coffee or outing tupeane company.
Huku dar pia tunaipata baridi no mafeni
 
Suzie _barbie hanaga hiyana msubiri atakupa mkono mkuu.
Labda mshika shamba anamzuia kwani yumo humu humu mkuu
Arusha kuna baridi kuna baridi watu wapo kwenye blanket zao mda huu mkuu!!
 
Arusha kuna baridi kuna baridi watu wapo kwenye blanket zao mda huu mkuu!!
Mkuu mie ndio narudi home nina jaketi kubwa kama la Trump...mwaka huu naona wamekuja na jaketi kubwa kama nini..sijui waliwasiliana na Mmeru wa kufungulia baridi mlima Meru?
 
Mkuu mie ndio narudi home nina jaketi kubwa kama la Trump...mwaka huu naona wamekuja na jaketi kubwa kama nini..sijui waliwasiliana na Mmeru wa kufungulia baridi mlima Meru?
Hahah, mkuu lazima mwakani tubebe kichanga
 
Hahah, mkuu lazima mwakani tubebe kichanga
Kwa hilo hapa mimi ni mtu wa utaratibu mkuu huwasi letewi mipango na majira bali mimi huyapangia majira mipango yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…