Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Baby nasubiri ile ticketi jamani...nmemiss zile outing za uzunguni parkJj mwenyewe ni habari nyingine anajua kila kilicho kizuri na wapi kinapatikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby nasubiri ile ticketi jamani...nmemiss zile outing za uzunguni parkJj mwenyewe ni habari nyingine anajua kila kilicho kizuri na wapi kinapatikana
Huku dar pia tunaipata baridi no mafeniKwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje? It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.
Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty dates even for coffee or outing tupeane company.
Una kihere here Uzunguni park za lini?😂😂😂Baby nasubiri ile ticketi jamani...nmemiss zile outing za uzunguni park
Poleni NgomeHuku dar pia tunaipata baridi no mafeni
Ohoooo!!! Kitu mpwito mpwito mnuso wa nyoka teleza!! Hakuna makasiriko, ni chemsha jamvi siku zisonge.Mbona makasiriko dear?
Sijasoma mkuu!!Aaah mkuu mafisi wa humu waliposoma uzi huu yalijaa pm na mrembo alishaokota mbunge wake...hujasoma mrejesho?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ingia kwa akaunti yake ashapata moto wake hahitaji kuazima joto tena😄😄Sijasoma mkuu!!
suzie _barbieIngia kwa akaunti yake ashapata moto wake hahitaji kuazima joto tena😄😄
Jamaa amemwamiru afunge hadi pm
Abe mkuu
Ndio nilipata mtu aliye serious[emoji4]Ingia kwa akaunti yake ashapata moto wake hahitaji kuazima joto tena[emoji1][emoji1]
Jamaa amemwamiru afunge hadi pm
Enjoy mama maisha ni haya hayaNdio nilipata mtu aliye serious[emoji4]
Suzie _barbie hanaga hiyana msubiri atakupa mkono mkuu.Amekataa mkuu🤣🤣🤣🤣
Arusha kuna baridi kuna baridi watu wapo kwenye blanket zao mda huu mkuu!!Suzie _barbie hanaga hiyana msubiri atakupa mkono mkuu.
Labda mshika shamba anamzuia kwani yumo humu humu mkuu
Mkuu mie ndio narudi home nina jaketi kubwa kama la Trump...mwaka huu naona wamekuja na jaketi kubwa kama nini..sijui waliwasiliana na Mmeru wa kufungulia baridi mlima Meru?Arusha kuna baridi kuna baridi watu wapo kwenye blanket zao mda huu mkuu!!
Hahah, mkuu lazima mwakani tubebe kichangaMkuu mie ndio narudi home nina jaketi kubwa kama la Trump...mwaka huu naona wamekuja na jaketi kubwa kama nini..sijui waliwasiliana na Mmeru wa kufungulia baridi mlima Meru?
Kwa hilo hapa mimi ni mtu wa utaratibu mkuu huwasi letewi mipango na majira bali mimi huyapangia majira mipango yanguHahah, mkuu lazima mwakani tubebe kichanga