Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Basi akutane na wewe kivyako then akakutane na hao wengjneUkiingia ndani kwenye post zake anataka iwe kama group hii kwangu hapana kubwa.
Group lolote jf halijawahi kuwaacha salama wana jf.
Mimi nikijikaza ntaonana na mmoja tu ili ikitokea vinginevyo najua mtu wa kudeal naye..sasa group utamnyooshea nani kidole.
Katika haya mambo unatakiwa kuwaza nje ya box