Basi akutane na wewe kivyako then akakutane na hao wengjneUkiingia ndani kwenye post zake anataka iwe kama group hii kwangu hapana kubwa.
Group lolote jf halijawahi kuwaacha salama wana jf.
Mimi nikijikaza ntaonana na mmoja tu ili ikitokea vinginevyo najua mtu wa kudeal naye..sasa group utamnyooshea nani kidole.
Katika haya mambo unatakiwa kuwaza nje ya box
Siyo lazima wote watokee jf.Huenda una nia njema lkn unavyotaka utekelezaji wake hautakuwa sawa.
Kwa uzoefu wangu ni kuwa kutaniko lolote la kuzidi watu wawili jf halijawahi kuwaacha watu salama
Haya bwanaUnakosea sana Nakadori.
Mwanamme mwenye akili na aliyekamilika huwa sio maza zote anawaza ngono.
Mimi nina marafiki wa kike pia tunaheshimiana na urafiki una mipaka.
Ufunue kila sketi ili iweje?
Huo ni ulimbukeni mkuu
Leo amealikwa na Adden pale uzunguni park jamni usiharibu😆Basi akutane na wewe kivyako then akakutane na hao wengjne
Huna lolote unataka mdinyo sema upo wapi nikupe mdogowangu chapchap.Kwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje?
It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.
Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty dates even for coffee or outing tupeane company.
Hapo sawaaaSiyo lazima wote watokee jf.
I can get a lady friend from jf, akaja with her friend nikawa na a friend ..Tuka have some good time together.
Hivyo tu
🤣🤣🤣🤣Leo amealikwa na Adden pale uzunguni park jamni usiharibu😆
Acha kukuza mambo mkuu.Ukiingia ndani kwenye post zake anataka iwe kama group hii kwangu hapana kubwa.
Group lolote jf halijawahi kuwaacha salama wana jf.
Mimi nikijikaza ntaonana na mmoja tu ili ikitokea vinginevyo najua mtu wa kudeal naye..sasa group utamnyooshea nani kidole.
Katika haya mambo unatakiwa kuwaza nje ya box
Hatujasalimiana...uko poa lkn?🤣🤣🤣🤣
Sina shida na mdinyo kabisaHuna lolote unataka mdinyo sema upo wapi nikupe mdogowangu chapchap.
Wala sikuzi mkuu najaribu kukutazamisha mbele zaidi.Acha kukuza mambo mkuu.
Hii ni jf chukulia ize mama😄Sina shida na mdinyo kabisa
Hivi kumbe nimealikwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo amealikwa na Adden pale uzunguni park jamni usiharibu[emoji38]
Nashukuru kwa tahadhari aise.Wala sikuzi mkuu najaribu kukutazamisha mbele zaidi.
Huenda hayajawahi kukuta ya humu.
Vinginevyo unafahamu sina tatizo na wewe kabisa
Wahi unachelewa rafiki hahaHivi kumbe nimealikwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah kinda fineHatujasalimiana...uko poa lkn?
Niko poa pia, nafurahia kiubaridi flani hiviYeah kinda fine
Na ww
Mufindi sijaiona hapo na sidhani kama imeshuka daraja
Ila hata wakiweka hamna jipya.. kama ni k ji ile ileSijui uzoefu wako jf rafiki yangu lkn ni sehemu hatari kuliko hatari yoyote.
Nimeshudia watu wakiumizwa bila sababu ya msingi hadi picha zao za sirini zikianikwa.
Humu kuna watu wa kila sampuli.
1. Wastaarabu sana
2. Mabedui kupindukia
Tahadhari ni muhimu sana