Arusha Baridi

Nalifahamu hili mkuu..

Nahitaji wastaarabu tu..Au basi sitaki tena.

Naomba unitajie hizo sehemu za kuwapata wastaarabu huku Arusha
 
Sasa tutaogopa mpaka linii
Maana sasa inakuwa too much...
Yani kama ikatokea nimeserebuka na wewe halafu uje ulete humu ntakuona wa juzi sana
Utoto huo lkn wanafanya wajinga
 
Kwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje?

It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.

Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty dates even for coffee or outing tupeane company.
Any lady or gentleman??? Ina maana wewe ni......
 
Mbona hali ni ya kawaida tu ....unatakiwa upate ganja iweke mfumo wa uratibu wa joto la mwili sawa🐒
 
Sasa hapa sijui ni shetani anakujaribu au ni wewe ndio unamjaribu shetani...!
 
Sasa tutaogopa mpaka linii
Maana sasa inakuwa too much...
Yani kama ikatokea nimeserebuka na wewe halafu uje ulete humu ntakuona wa juzi sana
Good,si kila mara tuwaze mambo hasi,kwanza kwanini tuwaze negative kama tunaishi na watu vyema??
 
Nalifahamu hili mkuu..

Nahitaji wastaarabu tu..Au basi sitaki tena.

Naomba unitajie hizo sehemu za kuwapata wastaarabu huku Arusha
Usiogope mkuu,wewe kama ni mwema uogope nini??
Umeanza vizuri unakua muoga mwishoni??
Mfano hvi wewe siku zote uwe Mmu maadui unawapata wapi??
"The only thing to fear is fear itself"
 
Another one
Kuwe na baridi nchi nzima
[emoji848][emoji23]
 
Kwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje?

It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.

Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty dates even for coffee or outing tupeane company.

Oh nimependa ulivyomalizia, ila aisehh kwa kweli hili baridi bado kidogo tu snow [emoji944] ianguke, baridi ilikuwepo siku za nyuma ila hili la sasa ni la kudead mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…