Arusha Baridi

njoo hapa UZUNGUNI CITY PARK LOCAL FOOD.fika hapo then nii nbox..nipo hapa nasubiri samaki wa kuoka.chakula cha hapa ni safi chuga nzima...
huku apetizer nikitumia BLACK & WHITE..

karibu sana all things on my treat
USIJALI.
Kuna kitimoto hapo, vyakula vyao ni vitamu sijawahi kula hapo
 
Kwa wale wakazi wapya wa Arusha ambao hamjazoea hili baridi kama mimi mnaendeleaje?

It is too cold here jamani mpaka I miss Dar.

Is there any lady here or gentleman that we can have some pretty dates even for coffee or outing tupeane company.
Quickie can do you better.
 
Oh nimependa ulivyomalizia, ila aisehh kwa kweli hili baridi bado kidogo tu snow [emoji944] ianguke, baridi ilikuwepo siku za nyuma ila hili la sasa ni la kudead mtu
umependa nini....nauliza tu
 
Kuna kitimoto hapo, vyakula vyao ni vitamu sijawahi kula hapo
kitimoto hawana man...
ila nimekula sehem nyingi sana..
hapo na KIPONG nawakubali sana.
wapishi wao wametulia sana asee!!
eneo pia ni zuri panapendeza sana.unakula huku mziki laini unakusindikiza na msosi..
halafu bei yao ni rafiki sana.

ukitaka chimbo lingine zuri la bei rahisi lakini chakula kitamu sana.
KWA DAUD pale ngarenaro kwenye mizani kwa nyuma yake!iko pilau mbuzi pale na ugali mnavo matata sana.
 
njoo basi hapa opposite na mount meru hotel..tule supu ya kongoro na mapumbu ya mbuzi..yaani hii winter leo nakula sishibi..
 
umependa nini....nauliza tu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Nimependa hicho alichosema anapenda kupata kampani ya kahawa kidogo , kwa kweli we si unaona hii hali ilivyo jj
 
njoo basi hapa opposite na mount meru hotel..tule supu ya kongoro na mapumbu ya mbuzi..yaani hii winter leo nakula sishibi..
Kama hata Uzunguni park hajaja basi tena babaa🤣🤣
 
Ngoja mkuu nitakucheki pm unipe maelekezo vizuri nataka nimpeleke jj akale vitu bora na sio bora vitu, na machimbo ya kitimoto maana hiyo ndiyo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…