Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari hii hapa
Maandamano ya amani Jimbo la Arusha mjini ya kupinga ukiukwaji wa taratibu na kanuni kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura la uchaguzi wa serikali za mitaa.
Maandamano yataanzia Kata ya SEKEI eneo la Philips na kuishia Kata ya LEVOLOSI Viwanja vya Kilombero, kupitia Sanawari hadi mianzini kushukia Stand kubwa ya mabasi kupitia Mnara wa Mwenge kuzunguka kupitia Shule ya Msingi Meru, kupitia Kituo cha polisi Kati hadi mzunguko zilipo Ofisi za Mkuu wa Mkoa na Wilaya kushuka hadi barabara ya Uhuru kwa kupitia goliondoi road kunyoa nayo hadi Barabara ya Sokoine na kuingia viwanja vya Kilombero tutakapofanya Mkutano wa hadhara.
Soma Pia: CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi