LGE2024 Arusha: CHADEMA yatangaza Maandamano kupinga Ukiukwaji wa Taratibu za Uandikishaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari hii hapa

Maandamano ya amani Jimbo la Arusha mjini ya kupinga ukiukwaji wa taratibu na kanuni kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura la uchaguzi wa serikali za mitaa.

Maandamano yataanzia Kata ya SEKEI eneo la Philips na kuishia Kata ya LEVOLOSI Viwanja vya Kilombero, kupitia Sanawari hadi mianzini kushukia Stand kubwa ya mabasi kupitia Mnara wa Mwenge kuzunguka kupitia Shule ya Msingi Meru, kupitia Kituo cha polisi Kati hadi mzunguko zilipo Ofisi za Mkuu wa Mkoa na Wilaya kushuka hadi barabara ya Uhuru kwa kupitia goliondoi road kunyoa nayo hadi Barabara ya Sokoine na kuingia viwanja vya Kilombero tutakapofanya Mkutano wa hadhara.

Soma Pia: CHADEMA: Uandikishaji wa Majina Uchaguzi Serikali za Mitaa una kasoro nyingi

Ataishia kujitokeza Mbowe na mtoto wake
 
HIVI BADO MNA NIANA MAANDAMANO TU KWANI YEPI MLIFANYA MKAFANIKIWA?
 
VITA NDIYO SULUHISHO.(Civil war in Tanzania is the basic need)
Hilo haliwezekani. Waasisi waliona mbali kuhusu wapumbavu kama wewe mnaowaza ushenzi ndo maana waliamua kuwachanganya watu na kuua ukabila. Mhaya utamkuta Mbamba bay kaoa huko huku Mngoni akiwa anaishi Karagwe kwa raha zake. Hiyo Civil War mkapigane kwenye lile pagale lenu la Mikocheni.
 
Tunataka kushughulikia watu kama wewe ambao mko kwenye dimbwi la giza na ujima.
 
Back
Top Bottom