fahadtingi
New Member
- Apr 8, 2026
- 1
- 1
Kumekuwa na tatizo la maji katika eneo la Lemguru Kisongo A to Z, maji hayajatoka miezi miwili sasa na bili za maji zinakuja zikiwa juu bila maelezo
Tatizo limeripotiwa kwa Mkurugenzi idara ya maji Arusha, anawajibu wananchi hana taarifa za tatizo la maji katika eneo hilo, na kuwa mkali kwa mtumishi wa idara ya maji aliyetoa taarifa kwa wananchi juu ya uharibifu wa pampu ya maji
Tatizo hili limekuwa sugu katika eneo hili na viongozi wanalifumbia macho hasa mkurugenzi idara ya maji Arusha.