Pre GE2025 Arusha: Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Mashauriano Kanda ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Watanzania karibu wote, anaongoza kikao cha Mashauriano cha Chama Chake huko Arusha.

Ifahamike kwamba Mbowe ni Mjumbe wa vikao hivyo kwa vile kijiografia Hai anakotokea ni sehemu ya kanda hiyo


Kwa lugha rahisi, lengo la Vikao hivi ni kupanga mipango na mikakati ya kukisogeza chama chao mbele zaidi.

Pia soma:
- Kuelekea 2025 - Mbowe: Kuna Watu wanasema Nina mgogoro na Tundu Lissu nawaambia Watasubiri sana, Chopa inaanza operation Karatu na Nitakuwa na Tundu Lissu!
 
Ohoo kilikwama kumbe ni vyema sana, yuko wapi makamu apande helkopta!
 
Cc.Tlaatlaaah
 
Nafurahi sana nikiwaona hivi tofauti na walioishiwa hoja wanavyotuchonganisha nanyi! Chapeni kazi
 
Tlaatlaah
 
Huyu Kigaila ni mgogo huko Arusha kafata nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…