Pre GE2025 Arusha: Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Mashauriano Kanda ya Kaskazini

Pre GE2025 Arusha: Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Mashauriano Kanda ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Watanzania karibu wote, anaongoza kikao cha Mashauriano cha Chama Chake huko Arusha...
Lema ndie Mwenyekiti ajae chadema.
 
Hakuna mgogoro wowote Chadema, usisikilize hao Kilichopo ni joto la Uchaguzi wa ndani
Niliacha kabisa kufuatilia mambo ya chadema,Kwa Sasa hivi sifuatilii kabisa na SITA kaa nifuatilie Tena maishani mwangu.

Sisomi habari zao wala sitafuti habari zao,sio Mimi peke yangu,Bali niko na kundi kubwa mno la watu,tumeamua hatujishughulishi kabisa na mambo ya CDM kuanzia mikutano,washa,makongamano,semina na matukio Yao mengine.

Kitu ambacho tumekubaliana ni kusubiri siku za uchaguzi TU, na kuwapa CHADEMA kura zote za NDIO kuanzia serikali za mitaa, Udiwani,Ubunge na Urais.

Hatuhitaji kusikiliza chochote Tena,kwani Elimu waliyotupa chadema imetuingia na inatutosha kabisa.
Watu wapya ndio wataifatilia CHADEMA ili wapate elimu,lkn sisi tumekwisha hitimu.

CHADEMA,✔️
 
Amen
 
Damu ni nzito kuliko maji, Mzee mbowe anampigania mjomba wake (Lema).
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa ...
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa kuungwa mkono na Watanzania karibu wote, anaongoza kikao cha Mashauriano cha Chama Chake huko Arusha.

Ifahamike kwamba Mbowe ni Mjumbe wa vikao hivyo kwa vile kijiografia Hai anakotokea ni sehemu ya kanda hiyo

Kwa lugha rahisi, lengo la Vikao hivi ni kupanga mipango na mikakati ya kukisogeza chama chao mbele zaidi.
"I cannot let my country go to the dogs" Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Samahani lakini kwa kuuliza swali la Kikatiba ila ningependa tu kujua maana sijawahi kuwasikia mkifanya mikutano kama hii

Ila kimsingi ni mikutano mizuri Sana

Mlale Unono 😃😃
 
Back
Top Bottom