Pre GE2025 Arusha: Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Mashauriano Kanda ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lema ndie Mwenyekiti ajae chadema.
 
Hata mimi nilitaka kuuliza hili. Halafu hicho kikao kama cha harusi
Vikao vyote vya namna hiyo vinatazamwa na Makao Makuu, Hata kama Mbowe yupo lakini ana conflict of interest, maana naye ni mjumbe wa kikao
 
Hakuna mgogoro wowote Chadema, usisikilize hao Kilichopo ni joto la Uchaguzi wa ndani
Niliacha kabisa kufuatilia mambo ya chadema,Kwa Sasa hivi sifuatilii kabisa na SITA kaa nifuatilie Tena maishani mwangu.

Sisomi habari zao wala sitafuti habari zao,sio Mimi peke yangu,Bali niko na kundi kubwa mno la watu,tumeamua hatujishughulishi kabisa na mambo ya CDM kuanzia mikutano,washa,makongamano,semina na matukio Yao mengine.

Kitu ambacho tumekubaliana ni kusubiri siku za uchaguzi TU, na kuwapa CHADEMA kura zote za NDIO kuanzia serikali za mitaa, Udiwani,Ubunge na Urais.

Hatuhitaji kusikiliza chochote Tena,kwani Elimu waliyotupa chadema imetuingia na inatutosha kabisa.
Watu wapya ndio wataifatilia CHADEMA ili wapate elimu,lkn sisi tumekwisha hitimu.

CHADEMA,βœ”οΈ
 
Amen
 
Damu ni nzito kuliko maji, Mzee mbowe anampigania mjomba wake (Lema).
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Yule Mwamba wa Siasa kwenye eneo la Maziwa Makuu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema, Chama cha siasa kinachotajwa ...
 
"I cannot let my country go to the dogs" Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
 
Reactions: Tui
Samahani lakini kwa kuuliza swali la Kikatiba ila ningependa tu kujua maana sijawahi kuwasikia mkifanya mikutano kama hii

Ila kimsingi ni mikutano mizuri Sana

Mlale Unono πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…