LGE2024 Arusha: Godbless Lema awatimua Maofisa wa TAKUKURU kwenye semina ya Wagombea wa CHADEMA, adai Wameacha uozo ufanywe kwenye Uandikishaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Yupo sahihi. Wameacha kuenda kwenye wazee wa mlungula wanakuja huku. Hata aibu hawaoni. Hao wazee wa rushwa wenyewe makada ya mboga mboga.
 
Wazee wa rushwa wenyewe makada wa mboga mboga.
 
Ule ulikuwa mkutao wa ndani wa chama, haana mamlaka ya kuja bila kualikwa. kama wana issu na rushwa, waje officially and specific for that!
 
Ni maneno ya kutoa kichwani kwako tu na kujiaminisha.

Hata alipofariki wale waliokuwa wanajipanga barabarani na kumlilia aliwapangq si ndio.

Magufuli alikuwa baraka ya muda mfupi Tanzania. The good don’t last.
Baraka gani wewe..! uharibifu ni baraka??
 

SAFI SANA .... Rushwa zinafanyika wazi wazi hawazifanyii kazi kwa vile ni MaCCM wanahusika halafu leo wanakuja kujifanya wanatoa elimu ....Rubbish.
 
Unatia aibu ukiwa upande gani?
 
Unatia aibu ukiwa upande gani?
Sio swala la kuchagua upande, CCM aina mpinzani.

Issue ni mama anatosha au la,

Vinginevyo hata CCM ikisimamisha mti na Lissu, mtu utashinda.

Kwanza hata hao CDM hawajampitisha Lissu kama mgombea wao; zaidi ya yeye mwenyewe kuji-promote.

Mpaka inabidi uelewe Boni-Yai ajiropokei tu zile ni kauli za Mbowe.
 
watanzania wote wasiokubaliana na ccm ni wapinzani wa ccm..ni mjinga ndiye anaweza dhani vyama tofauti na ccm ndio wapinzani pekee wa ccm..kwani kiongozi lazima awe kwenye vyama vya siasa?
 
Nadhani hawa watu hawajui kazi yao. Imefikia hadi kuandikisha watoto wadogo, marehemu na hata wafungwa lakini wakakaa kimya wakisubiri amri toka juu. Lah!!! Hii nchi inatisha sana.
 
Maneno ya mwisho ya Lema ni kwamba kweny kura za umeya alishinda Msofe ila kwakua alikua anamuamin Kalisti bas akapewa cheo Kalisti mwishowe Kalisti akanunuliwa akawa mkuu wa wilaya... PUMBAVU sasa ndo demokrasia gan hiyo munayoiimba kila sku? Kumbe hata CDM ni wezi wa uchaguzi, SMH🙆‍♀️
 
Lema yuko sahihi 100%hizi taasisi za kutoa haki zime geuka matawi ya Ccm.
Yaana kama mahakama sidhani kama wao ndio huandika hukumu siku hizi. Maana Ukisikia kesi iko mahakamani inayo husu serikali ya Ccm huwa tayari tuna jua hukumu ita kuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…