Neutral Man ZT
JF-Expert Member
- Sep 5, 2025
- 501
- 990
Wanachoweza ni hiki eti na kulinda mipaka huku ndani wezi, ufisadi, watu kutekwa kumeoza,.mnalinda nini?Wanajeshi wanafanya doria kila mahala
Mserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47
Wanajenshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo.
Goma au Kisangani na Bukavu
Mimi mwenyewe nashangaaMkuu, Nilipita chuga nikashangaa wajeda wapo mataa wanaongoza magari km traffic au wapo kusogeza folen. Kumbe wapo mpk leo?
Waendelee kukagua wakati GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.Wanajeshi wanafanya doria kila mahala
Mserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47
Wanajenshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo.
Goma au Kisangani na Bukavu
waarabu nduguze wameshampa ma range rover na pengne ndo waliotoa mpunga wa uchaguzi wote na ukumbuke bandari wanayo wao sa mama anarudshaje fadhira na hzo pesa bdo vitega uchumi vya mafisadi na mikataba fake kwny rasilimali na mashrika ya nchi hii kuondoka kwake maana yake ni kuondoka kwa ccm ndo mwsho wake ccm ndiye adui namba 1 wa taifa hli ccm imetuharibia ma dr, prof wa maana kbs imetuharibia wabunge wazuri sn waliowaungsha juhudi walisaidia mambo meng sn yny maslahi kwa nchi na watz leo hawana meno ksa wako ccm, ukute ndege alizonunua jpm watu walishazgawana ktambo sn maana nlishangaa timu ya kmc pamoja na uwanja wake eti n mali ya ccm wkt inatumia pesa za manispaa khaaa jaman tanganyika yangu.Huyu mama mbona anapambana sana kubakia madarakani wakati hatakiwi?
D9 kitaeleweka tu.
Sijui ana AGANO gani???..Huyu mama mbona anapambana sana kubakia madarakani wakati hatakiwi?
D9 kitaeleweka tu.
Si mlitaka nchi ichukuliwe na jeshi lakini? CC KirangaWanajeshi wanafanya doria kila mahala
Meserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47
Wanajeshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo.
Goma au Kisangani na Bukavu
Matumizi mabaya ya jeshi letuWanajeshi wanafanya doria kila mahala
Meserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47
Wanajeshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo.
Goma au Kisangani na Bukavu