Arusha imezungukwa na mikoa yote yenye warembo matata

teledam

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Posts
927
Reaction score
1,239
Mambo vipi wadau..

Hili halina ubishi kabisa,ukifika A-town utakutana na warembo wa sampuli zote yani dah kweli ni kama hili jiji limekuwa kivutio fulani cha watoto wote wazuri kutoka kona zote

Warefu kwa wafupi,weupe kwa weusi, nywele natural, vimodo aka vipotabo,saizi ya kati na vibonge wenye mishepu ya kuhongwa mishangingi yani acha kabisa mpaka leo sijaoa kwa sababu kila kukicha nakutana na vyuma tu[emoji39][emoji39] acha niendelee tu kula ujana nitaoa baadae

Hii haina maana kwamba mikoa ambayo siyo jirani na atown haina ma-queens[emoji23][emoji23] la hasha ila ni babati kondoa klm na arusha yenyewe ndo vinainogesha Ar kama hujawahi kufika fanya hima maana hawa totoz peke yake ni vivutio[emoji91] tosha

Hata kama una streess ukipita pita town unaeza jikuta unasahau kabisa mambo yanayokupa msongo..yaani full burudani kama upo ndani ya las vegas casino hapo Jollys

Karibuni wageni kwa utalii wa ndani
 
Arusha tumebarikiwa sana warembo sema wanapenda pesa balaa yani nadhani hii ni kutokana na utajiri uliopo huku kama Matajiri wa Madini na wengineo.., Ila kiukweli Arusha totoz ni kali balaa
 
utakuwa umewatokea mamanze wa ma-maina hapo lazima uchakazwe [emoji23][emoji23]
Arusha tumebarikiwa sana warembo sema wanapenda pesa balaa yani nadhani hii ni kutokana na utajiri uliopo huku kama Matajiri wa Madini na wengineo.., Ila kiukweli Arusha totoz ni kali balaa
 
Kwa hiyo mpaka Kilimanjaro kuna madem wazuri..?? Haupo serious
 
Vip sir wa dar tunakoment wap ?
Maana tunakuona mshamba
 
bado upo Arusha?
 
Mkuu, hii covid AWAMU YA PILI imekuacha salama huko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…