Bwashee Machui
Member
- Jan 2, 2019
- 69
- 79
Ndio bila shaka dalili za ujenzi moja wapo ni eneo kuzungushiwa Uzio na jambo hilo limefanyika katika eneo husika Bondeni city TeratiHivi hawa wa chuga chuga wanajengewa hata stand mpya kweli
Hilo kuwepo ni ngumu kutokana na dala dala kutokuwa na ruti maalumu Unakuta jioni dala dala zinakimbilia upande mmoja yaani zinapokezana na bajaji😂😂😂shida tupu sehemu ya nauli 600 utafika kwa 1500Vipi hiko pia kuna kugombania daladala kama huku mzizima
Makonda mwenyewe yu kwani sasa...??Stand ya mwenge ni airport kwa Arusha no wonder wamempa makonda awasaidie