Arusha kiboko ya wanawake wazuri Tanzania

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Wadau,nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi flani hivi so natural wana figure nzuri,halafu waelewa na wajanja tofauti na wanawake wa Dar wengi wana uzuri wa kujitengeneza na wezi wezi tu,wanawake wa mkoa gani we unaona ni waZuri zaidi ya Chuga?
 
Nzuri pesa tu bila pesa hao utaishia kuwaona hivyo hivyo tu mkuu.
 
Chuga kuna mademu wakali but wana meno ya njano sana na huku nyuma wana tuvitako tudogo hata kwenye viganja havijai,nliwahi mpata mmeru mmoja akitoka USA kule juu kwa manguchi anakuja Mianzini kufuata dololo yangu ,yule nlimuelewa sana Luv u Rose wherever u are!!
 
😀😀😀
 
Wadau,nimebahatika kufika mikoa mingi sana Tanzania but kwa Arusha nimezima fegi kuna wanawake wazuri sana wana rangi flani hivi so natural wana figure nzuri,halafu waelewa na wajanja tofauti na wanawake wa Dar wengi wana uzuri wa kujitengeneza na wezi wezi tu,wanawake wa mkoa gani we unaona ni waZuri zaidi ya Chuga?

Hujafika kyerwa
 
Taabu dental colors

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom